Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Usi
Mimi ni injinia na kazi zangu nyingi nafanya kwa "kuclick maus ya kompyuta"....Hapo unasemaje? bado una amini siwezi ingiza pesa kwa kuclick mouse ya computer?
Usihangaike kuwajibu watu ambao wameshakata tamaa ya maisha maana wanaweza kukujibu chochote. Hata hiyo simu yake (smartphone) aliyotumia kupost kwenye hii thread pia ni computer kama hajui hilo. Wanaoiponda forex ni wale walio waliozoea spoon feeding shuleni. Huwezi kuwa professional trader wa forex kwa semina ya Ontario ya masaa kadhaa tu kwa siku tano. Elimu huwa ni endelevu na haijawhi kumalizwa na mtu yoyote katika dunia hii ila kwa mfuatiliaji wa mambo mambo ukisoma forex kwa njia mbalimbali ikiwemo mitandao na kufanya demo trading za kutosha unaweza kupata uzoefu mkubwa sana utakaokuwezesha kuvuna pesa katika forex. Kama mtu unaweza kuvuna hadi dolla 2000 - 10000 kwa mwezi hata ndani ya wiki au wiki mbili kulingana na mtaji wako na risk taking yako hilo si jambo dogo. Waache waendelee kuiponda forex. Hao ndio wale sizitaki mbichi hizi!!
 
Unajua hata kama alitoa sababu, swali linakuja je hizo sababu wakati akiahidi mwazo hakuzifahamu??
Sio kwamba namtetea ila lazima tujue mambo yana change, leo utapanga kesho utumie gari kwenda dsm ukaamka ukakuta gari halipo, so lazima utafute alternatives!!

Najua wewe ni mkulima au ushawahi kulima, je ukipanda mahindi na mvua isiponyesha hautatafuta pump umwagilie kama kuna mto karibu?

Ndio maana kuna kitu kinaitwa unforeseen events mkuu!!
 
ONTARIO namuelewa sana na hustling zake. Hivi ndio vijana tunapaswa kua. Vyovyote vile pesa itafutwe.. Tuache negative argument, kama umekosa fursa jua wewe ndio fursa yenyewe.
 
Jamii forums mnashiriki kwenye kampeni za ujambazi za huyu kijana..

Haya mabandiko ya misukule yake humu imelenga kwenye UTAPELI, SIFA NA UKWEZI ambao hauna tija yoyote humu. Jukwaa hili limegeuzwa kijiwe cha habari za udaku kuhusu huyu mwizi.

Ni wendawazimu kufuta nyuzi au kuunganisha nyuzi za watu wengine na kuacha nyuzi za sifa za kijinga zaidi ya moja humu.

Uzi huu hauna maana yoyote humu..ni ujinga tupu
Ontario hongera sana, vyeti vyangu vimeoza kwa vumbi kabatini 6'yrs!!!!
Ahaaaa let's our country now[emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838]
9c3be319c40875ba88ab6b75d46bdd29.jpg
 
Nimemtext DM kule insta hajanijibu , ki ukweli na mm napenda niwe kwenye program yake please ONTARIO usinipuuze brother
 
Nauliza jamani wale wataalamu wa forex kwamba jinsi gani naweza kujisajili na huyu broker ???
Msaada jamani....
 
NENDA TMT YA ONTARIO JANGID PLAZA,OYSTERBAY OFISI NO 211 KWA MSAADA ZAIDI
 
Hot??? nenda jikoni utakutana na hot subiri wakati wa kupika
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!

Minimum deposit ni $1=Tsh2,240 tu
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!

Minimum deposit ni $1=Tsh2,240 tu
 
Back
Top Bottom