Kutoka kwa wahanga watarajiwa wa Covid-19

Hakika imefeli vibaya pongeziv
 

Mkuu MKALAMO unaitwa huku utupe formula angalau ya haya matangamwizi na mapilipili ya vichaa.
 
Hakuna aliyekukataza kujilockdown.

Ni kweri mkuu. Si umewaona waliopotea.

Unadhani hawajatumia busara yako?

Au wewe ndiye uliye wapa haya mautundu?
 
We unatakaje kwani ,jiweke lockdown vaa barakoa kaa mbali mita moja hata na nusu,usipande daladala lililojaa na mengine kama hayo kinyume chake kutaka wote tulie mlio mmoja ni uzandiki.

Kabisa mkuu. Nadhani hata wanaotengenezewa sababu za vifo zikiwamo cardiac arrest, pneumonia, na hata ajali za boda boda wanakubaliana nawe.
 
Muda gani mkuu? Mlisema hivihivi miezi kadhaa iliyopita mbona hali shwari, hiyo miili inayodondoka barabarani ipo wapi?

Mwenzetu u mzima buheri wa afya?

Tukumbukane japo kwa salamu.
 
Maisha yanaendelea boss, hata wewe ungali mzima kabisa.
 

Vipi mkuu pongezi kwa rais mwenye maono umemfikishia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…