Kutoka kwenye CHADEMA haiwezi kuishi bila ruzuku mpaka kufuatilia tone tone

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
25,522
Reaction score
40,795
Nakumbuka mwaka Jana baada ya uchaguzi wa CHADEMA, kundi la G55 lililohamia chaumma lilidai limehama kwa sababu ya CHADEMA kutokushiriki kwenye uchaguzi mkuu kupitia kauli mbiu ya no reform no election. Moja ya hoja za G55 ni kwamba CHADEMA haiwezi kumudu kujiendesha bila Ruzuku, hivyo chama kitakufa. Yeriko Nyerere akadai ya kwamba CHADEMA bila ruzuku hakitaweza kufanya operesheni au mikutano. Akadai viongozi waliokuja na wazo la kususia uchaguzi hawana hekima wanakiua chama.

Nakumbuka mwaka huu CHADEMA iliporudi kufanya siasa, mwandishi wa habari aitwaye Pascal Mayala kupitia moja ya online TVs , alidai CHADEMA haina pesa na wala viongozi waliopo hawana pesa . Akamtolea mfano Lissu na kudai Lissu hana pesa kama Mbowe na wala hana washirika wenye pesa. Na watu wengi wa aina yake walikuwa na huo msimamo ya kwamba CHADEMA haitasimama bila ruzuku.

Cha kushangaza muitikio wa wananchi ulivyoanza kuwa mkubwa kwenye mikutano na kukichangia chama, wakaibuka watu na kuanza kudai pesa inaliwa. Na wanaodai pesa zimeliwa hawataji kiwango cha pesa kilicholiwa au chanzo cha hiyo pesa iliyoliwa.

Swali la kujiuliza, je haya madai yangekuwepo kama mahudhurio ya mikutano ya CHADEMA yangehudhuriwa na watu wachache?. Hawa akina mchome na wenzake ndio wangekuwa wa kwanza kukitukana chama kwamba kimekosa ushawishi.

Hivyo basi, naweza kusema ya kwamba kubadilika kwa hizi semi kunaashiria ya kwamba CHADEMA inaelekea kuzuri. Inaonekana bila ruzuku CHADEMA bado inasimama imara na kuondoa hoja ya G55 ya kwamba bila ruzuku CHADEMA haiwezi kusimama. Na iwapo CHADEMA watamudu kusimamia mpaka 2030, basi watakuwa wamevunja rekodi ya kuwa chama kikuu cha upinzani bila ruzuku, wabunge na madiwani.
 
Nakumbuka mwaka Jana baada ya uchaguzi wa CHADEMA, kundi la G55 lililohamia chaumma lilidau limehama kwa sababu ya CHADEMA kutokushiriki kwenye uchaguzi kupitia no reform no election. Moja hoja za G55 ni kwamba CHADEMA haiwezi kumudu kujiendesha bila Ruzuku, hivyo chama kitakufa. Yeriko Nyerere akadai ya kwamba CHADEMA bila ruzuku hakitaweza kufanya operesheni au mikutano. Akadai viongozi waliokuja na wazo la kususia uchaguzi hawana hekima wanakuja chama.

Nakumbuka mwaka huu CHADEMA iliporudi kufanya siasa, Mwandishi wa habari aitwaye Pascal Mayala kupitia Moja ya online TVs , alidai CHADEMA haina pesa na wala viongozi waliopo hawana pesa . Akamtolea mfano Lissu na kudai Lissu hana pesa kama Mbowe na wala hana washirika wenye pesa. Na watu wengi wa aina yake walikuwa na huo msimamo ya kwamba CHADEMA haitasimama bila ruzuku.

Cha kushangaza muitikio wa wananchi ulivyoanza kuwa mkubwa kwenye mikutano na kukichangia chama, wakaibuka watu na kuanza kudai pesa inaliwa. Na wanaodai pesa zimeliwa hawataji kiwango cha pesa kilicholiwa au chanzo cha hiyo pesa iliyoliwa.

Swali la kujiuliza, je haya madai yangekuwepo kama mahudhurio ya mikutano ya CHADEMA yangehudhuriwa na watu wachache?. Hawa akina mchome na wenzake ndio wangekuwa wa kwanza kukitukana chama kwamba kimekosa ushawishi.

Hivyo basi, naweza kusema ya kwamba kubadilika kwa hizi semi kunaashiria ya kwamba CHADEMA inaelekea kuzuri. Inaonekana bila ruzuku CHADEMA bado inasimama imara na kuondoa hoja ya G55 ya kwamba bila ruzuku CHADEMA haiwezi kusimamia. Na iwapo CHADEMA watamudu kusimamia mpaka 2030, basi watakuwa wamevunja rekodi ya kuwa chama kikuu cha upinzani bila wabunge na wadiwani.
Hapo ndiyo iamini kuwa mti wenye matunda ndiyo upigwao mawe.
 
Nakumbuka mwaka Jana baada ya uchaguzi wa CHADEMA, kundi la G55 lililohamia chaumma lilidai limehama kwa sababu ya CHADEMA kutokushiriki kwenye uchaguzi mkuu kupitia kauli mbiu ya no reform no election. Moja ya hoja za G55 ni kwamba CHADEMA haiwezi kumudu kujiendesha bila Ruzuku, hivyo chama kitakufa. Yeriko Nyerere akadai ya kwamba CHADEMA bila ruzuku hakitaweza kufanya operesheni au mikutano. Akadai viongozi waliokuja na wazo la kususia uchaguzi hawana hekima wanakiua chama.

Nakumbuka mwaka huu CHADEMA iliporudi kufanya siasa, mwandishi wa habari aitwaye Pascal Mayala kupitia moja ya online TVs , alidai CHADEMA haina pesa na wala viongozi waliopo hawana pesa . Akamtolea mfano Lissu na kudai Lissu hana pesa kama Mbowe na wala hana washirika wenye pesa. Na watu wengi wa aina yake walikuwa na huo msimamo ya kwamba CHADEMA haitasimama bila ruzuku.

Cha kushangaza muitikio wa wananchi ulivyoanza kuwa mkubwa kwenye mikutano na kukichangia chama, wakaibuka watu na kuanza kudai pesa inaliwa. Na wanaodai pesa zimeliwa hawataji kiwango cha pesa kilicholiwa au chanzo cha hiyo pesa iliyoliwa.

Swali la kujiuliza, je haya madai yangekuwepo kama mahudhurio ya mikutano ya CHADEMA yangehudhuriwa na watu wachache?. Hawa akina mchome na wenzake ndio wangekuwa wa kwanza kukitukana chama kwamba kimekosa ushawishi.

Hivyo basi, naweza kusema ya kwamba kubadilika kwa hizi semi kunaashiria ya kwamba CHADEMA inaelekea kuzuri. Inaonekana bila ruzuku CHADEMA bado inasimama imara na kuondoa hoja ya G55 ya kwamba bila ruzuku CHADEMA haiwezi kusimama. Na iwapo CHADEMA watamudu kusimamia mpaka 2030, basi watakuwa wamevunja rekodi ya kuwa chama kikuu cha upinzani bila ruzuku, wabunge na madiwani.
Pascal Mayalla
 
Chadema kuungwa mkono na mamilioni ya Watanzania inawauma sana watawala, wao hutumia mamia ya mamilioni kuandaa mikutano hadi watu kupewa hela ili wahudhurie mikutano yao lakini Chadema hutumia hela kidogo sana kuandaa mikutano yao na wanahudhuria maelfu ya watu huku wakiichangia mamilioni ya fedha, jambo hili linawauma sana hawa majizi ya kura.
 
Hivi kuna wizi na ufisadi pahala popote hapa Tanzania zaidi ya unaofanyika hapa nchini chini ya uongozi wa ccm?

Kila mwaka ripoti za CAG zinasema kabisa kuwa mabilioni yameliwa na vigogo wenu lkn mnaziba masikio.
Unayekemea uovu,na kujitanabaisha uovu unakukera na hutaki hata kuusikia,ni budi uwe safi bila dosari,sasa ""kinachofanyika ni mwizi mdogo anamuonea wivu mwizi mkubwa""
#Unayetarajia kuongoza taifa ambalo unadai lina ufisadi mwingi ni lazima uwe mfano!...wa usafi na uwazi...na kuwajibika!..
 
Nakumbuka mwaka Jana baada ya uchaguzi wa CHADEMA, kundi la G55 lililohamia chaumma lilidai limehama kwa sababu ya CHADEMA kutokushiriki kwenye uchaguzi mkuu kupitia kauli mbiu ya no reform no election. Moja ya hoja za G55 ni kwamba CHADEMA haiwezi kumudu kujiendesha bila Ruzuku, hivyo chama kitakufa. Yeriko Nyerere akadai ya kwamba CHADEMA bila ruzuku hakitaweza kufanya operesheni au mikutano. Akadai viongozi waliokuja na wazo la kususia uchaguzi hawana hekima wanakiua chama.

Nakumbuka mwaka huu CHADEMA iliporudi kufanya siasa, mwandishi wa habari aitwaye Pascal Mayala kupitia moja ya online TVs , alidai CHADEMA haina pesa na wala viongozi waliopo hawana pesa . Akamtolea mfano Lissu na kudai Lissu hana pesa kama Mbowe na wala hana washirika wenye pesa. Na watu wengi wa aina yake walikuwa na huo msimamo ya kwamba CHADEMA haitasimama bila ruzuku.

Cha kushangaza muitikio wa wananchi ulivyoanza kuwa mkubwa kwenye mikutano na kukichangia chama, wakaibuka watu na kuanza kudai pesa inaliwa. Na wanaodai pesa zimeliwa hawataji kiwango cha pesa kilicholiwa au chanzo cha hiyo pesa iliyoliwa.

Swali la kujiuliza, je haya madai yangekuwepo kama mahudhurio ya mikutano ya CHADEMA yangehudhuriwa na watu wachache?. Hawa akina mchome na wenzake ndio wangekuwa wa kwanza kukitukana chama kwamba kimekosa ushawishi.

Hivyo basi, naweza kusema ya kwamba kubadilika kwa hizi semi kunaashiria ya kwamba CHADEMA inaelekea kuzuri. Inaonekana bila ruzuku CHADEMA bado inasimama imara na kuondoa hoja ya G55 ya kwamba bila ruzuku CHADEMA haiwezi kusimama. Na iwapo CHADEMA watamudu kusimamia mpaka 2030, basi watakuwa wamevunja rekodi ya kuwa chama kikuu cha upinzani bila ruzuku, wabunge na madiwani.
Paskali Mayalla na yule Balille wamenifanya sana niwadharau waandishi wa Tanzania. Wanatia aibu sana, halafu ukiwaangalia sana hata kula yao ya taabu taabu sana, huwa nafanya kujiuliza mtu kama Mayalla ni graduate, lakini Logic and reasoning ni ZERO halafu kasomea sheria. Sheria yote in English. Sasa mbona sielewi? Mind boggling
 
Unayekemea uovu,na kujitanabaisha uovu unakukera na hutaki hata kuusikia,ni budi uwe safi bila dosari,sasa ""kinachofanyika ni mwizi mdogo anamuonea wizi mwizi mkubwa""
#Unayetarajia kuongoza taifa ambalo unadai lina ufisadi mwingi ni lazima uwe mfano!...wa usafi na uwazi...na kuwajibika!..
Hakuna anayetetea vitendo vya wizi ndani ya cdm.
Tunacho amini ni kutaka kupata huo udhibitisho wa vitendo vya wizi kupitia kwa mtu mwenye mamlaka ya kufanya ukakaguzi was mahesabu yaani CAG na siyo hao machawa wa ccm
 
HECHE NAAMINI HUKUIBA FEDHA ZOZOTE,KAA PEMBENI PISHA UCHUNGUZI,UTABAINIKA NI MTU SAFI NA UTAREJESHEWA UMAKAMU WAKO!....(Onyesha uzalendo wako na utiifu wako kwa umma,ili mtakochukua nchi basi kutakuwa hakuna shaka)
Leta evidence ya huo wizi. Account yake na bank etc etc
Hivi kama Heche angekuwa na bank account yoyote Tanzania CCM hawawezi kuijua na kuianika? Nyie mashetani sana sana, mtapata laana si muda mrefu. Bastadi
 
Hivi nchi imekuwa ni pipi ya kuchukua tu? Heche ajiuzulu mazima kabisa sio kupisha tu uchunguzi, akichelewa kujiuzulu wanachama tutamfukuza kwa nguvu!!
 
Safali NI ndefu Sana mkuu Wana propaganda wa lumumba miaka yote walisema chadema chini ya mbowe ruzuku inaliwa na mwenyekiti liliponunuliwa jengo la Chadema HQ IKAWA OH HELA NYINGI Sana zimetumika mwenyekiti kapiga pesa Leo chadema inaendeshwa kwa michango ya wadau yanaibuka manyang'au kutoka lumumba yanapanua midomo ohh Heche kala hela za chama halafu inatokea mimamuruki iliyopandikizwa na mafisadi haya ya lumumba inawachota watu akili kana kwamba NIKWELI hebu shitukeni Wana chadema tusiingizwe mkenge na haya mauwaji na mafisadi ya CCM tubaki na agenda zetu free TUNDU lissu katiba mpya ni Sasa.
 
Chadema kuungwa mkono na mamilioni ya Watanzania inawauma sana watawala, wao hutumia mamia ya mamilioni kuandaa mikutano hadi watu kupewa hela ili wahudhurie mikutano yao lakini Chadema hutumia hela kidogo sana kuandaa mikutano yao na wanahudhuria maelfu ya watu huku wakiichangia mamilioni ya fedha, jambo hili linawauma sana hawa majizi ya kura.
umeonaeeeee? Yaani wanakosa raha kabisa maana wanajua kuwa wananchi wameamua kutafuta chama wanachokiamini kwamba kitabeba matumaini yao
 
Leta evidence ya huo wizi. Account yake na bank etc etc
Hivi kama Heche angekuwa na bank account yoyote Tanzania CCM hawawezi kuijua na kuianika? Nyie mashetani sana sana, mtapata laana si muda mrefu. Bastadi
Mkuu huyo asikuchanganye kichwa sisi tuliochanga pesa tulichanga kwenye account za chama sio za heche kwaiyo tunajuwa kama pesa zingekuwa zimefujwa katibu mkuu wa chama ndio muhusuka mkuu kwaiyo kama kwenye tuhuma hizo hayumo basi warudi wakaandandae uwongo mwingine wakutuambia
 
Back
Top Bottom