Kutoka kwenye CHADEMA haiwezi kuishi bila ruzuku mpaka kufuatilia tone tone

HECHE NAAMINI HUKUIBA FEDHA ZOZOTE,KAA PEMBENI PISHA UCHUNGUZI,UTABAINIKA NI MTU SAFI NA UTAREJESHEWA UMAKAMU WAKO!....(Onyesha uzalendo wako na utiifu wako kwa umma,ili mtakochukua nchi basi kutakuwa hakuna shaka)
Uwajibikaji ni msingi wa kila kitu lakini je viongz wa chama tawala, waliokuwa implicated kwenye kesi mbali mbali za ufisad nchini waliwah kuwajibika? Au walidrudi bungeni na kuendelea na maisha kama kawaida?
 
Hakuna anayetetea vitendo vya wizi ndani ya cdm.
Tunacho amini ni kutaka kupata huo udhibitisho wa vitendo vya wizi kupitia kwa mtu mwenye mamlaka ya kufanya ukakaguzi was mahesabu yaani CAG na siyo hao machawa wa ccm
Anayeweza kumtambua mwizi ndani ya chadema ndiye aliyelalamika pamoja na wale mliowatimua,kisa tu #kuhoji?
 
HECHE NAAMINI HUKUIBA FEDHA ZOZOTE,KAA PEMBENI PISHA UCHUNGUZI,UTABAINIKA NI MTU SAFI NA UTAREJESHEWA UMAKAMU WAKO!....(Onyesha uzalendo wako na utiifu wako kwa umma,ili mtakochukua nchi basi kutakuwa hakuna shaka)
Propaganda zenu hazina faida mmeshindwa kutumia hoja mnatumia ujinga kujiaminisha.

Sasa haya yanayotoka huko ccm na serikali yake haramu uliwahi yaongea?
 
Unlike Chama Cha Majambazi, CHADEMA wanakwenda kwa nguvu ya umma. That makes them an unstoppable force, at least for now!
 
HECHE NAAMINI HUKUIBA FEDHA ZOZOTE,KAA PEMBENI PISHA UCHUNGUZI,UTABAINIKA NI MTU SAFI NA UTAREJESHEWA UMAKAMU WAKO!....(Onyesha uzalendo wako na utiifu wako kwa umma,ili mtakochukua nchi basi kutakuwa hakuna shaka)
na waliotakiwa kuonyesha uzalendo kuhusu Tume huru ya Kuchunguza MO29 Je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…