KUTOKA KWENYE KITABU CHA NGUVU YA MIMEA
KUTOKA KWENYE KITABU CHA NGUVU YA MIMEA
Choma Kuni za mpaina ili kuvutia pesa ndani ya nyumba
Kutoka kwenye kitabu Cha Nguvu ya mimeaπ
Choma Kuna za apple kabla ya kukutana na mpenzi wako hii itasaidia mwenzi wako akugande kila siku na akupende sana.
Kama kuna mtu unampenda na anakuzingua basi chukua karatasi aliyoandika KWA kalamu ya wino alafu ivae KWA muda wa siku tisa
Baada ya hapo ichukue kisha loweka katika maji alafu ogea
Asili ni maf
umbo
bangili ya ulinzi inazingatia kuund
a ngao dhidi ya nishati hatari.
mara baada ya kuanzishwa kwa uga wako wa nishati, onyx nyeusi hufanya kazi kurudisha mitetemo hasi.
lapis lazuli imeongezwa ili kuhimiza ufahamu kamili na kusaidia hali ya utulivu wa makini.
KWA mawasiliano dm
KUTOKA KWENYE KITABU CHA MAFUNDISHO YA SIRI
kama ilivyo hapo juu NDIVYO ilivyo hapa chini, kama ilivyo ndani ndivyo ilivyonje ni dhana muhimu zaidi ambayo inahitajika kueleweka kwa undani ili kupatatafsiri kamili ya uumbaji huu wa kiungu.
neno kama ilivyo hapo juu , ndivyo ilivyohapa chini inalingana na vitu vyote katika uumbaji kwani linaunganisha vitu ambavyo vidogo sana na vikubwa
unaweza kusoma vitu vidogo kwa kusoma vitu vikubwa kwa sababu vitu vyote viko katika vitu vyote.
neno hili limekuwepo kwa maelfu ya miaka na yalikuwa maneno maarufu kutoka kwa mungu wa Misri thoth/hermes trismegustus/mercury/moses/enoch.
Vip apo tumeelewana au ndo codes Kali wakuu ππππ
JINSI YA KUCHEZA KAMARI KWA KUTUMIA HESABU
jifunze jinsi elimu ya nambari inavyoweza kukusaidia na kukuongoza katika maamuzi yako ya kamari kwa kutumia life path YAKO na nambari zingine za kibinafsi ili kufanikisha ushindi wako
..... Jiunge nasi
KWA elimu zaidi ...o.....
-
1737524104381.jpg
232.5 KB
· Views: 7