Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Alikuwa anaitwa mkali wa chorus AfricaEnzi hizo ndiye alikiua mwana bongo fleva nyota yetu.
Asilimia mia huyo ni bi mkubwa wa jumaUkisemacho ni kweli au? Mbona kama mheshimiwa mwenyewe kabisa
Zari huwa linaangukia popote mkuu[emoji851][emoji851][emoji851] nije kuwa namba one mie au [emoji15][emoji849][emoji849]
Hilo lamba moja paka nne haiwezekani mkuu πππZari huwa linaangukia popote mkuu
Hahahahaaa.Hilo lamba moja paka nne haiwezekani mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kama hapo nataka umaarufu, ila kwa habari ya mishahara na malupu malupu.. haya magenge yangu ya kuuza nyanya yanatengeza pesa kuliko hizo position pia hata kwenye magenge yangu viongozi huwa nakutana nao na nimekuwa kauzu kuliko dagaa hadi huwa hawanielewi ila wananikubali πππππ..Hahahahaaa.
Basi hata ubalozi waweza ulamba.
Hoyce Temu sidhani kama alikuwa na hizo ndoto
Hakika. Huyo atakuwa mama yake Nature.Asilimia mia huyo ni bi mkubwa wa juma
[emoji16][emoji16][emoji16]niliwahi pia kuiona juma mwenyewe kwa mara ya kwanza anapiga picha na mama yakeHakika. Huyo atakuwa mama ya Nature.
Hii picha ni ya kitambo, wakati huo SSH asingekuwa na sura ya kiutuuzima kiasi hicho.
Lakini sasa ndiye kiroboto halisi hahaEnzi hizo Kiroboto anajiita Sir Nature
WENZAKO WAKIAMBIWA HIVYO WANAITIKIA AMINA. SIO KUANZA KUULIZA MASWALI TENA, UTAKOSA BARAKA BURE MKUU.π€π€π€ nije kuwa namba one mie au π³ππ
Ila kwa Hoyce ni Bahati aliyopewa na Mungu.Hahahahaaa.
Basi hata ubalozi waweza ulamba.
Hoyce Temu sidhani kama alikuwa na hizo ndoto
Hiyo haiwezekani kwangu mkuu.. ππππ na hata kama hiyo baraka yenyewe ya number one siitakiWENZAKO WAKIAMBIWA HIVYO WANAITIKIA AMINA. SIO KUANZA KUULIZA MASWALI TENA, UTAKOSA BARAKA BURE MKUU.
Tawile Baba!Hiyo haiwezekani kwangu mkuu.. ππππ na hata kama hiyo baraka yenyewe ya number one siitaki
Kila mmoja kabarikiwa kwa namna yake, unaweza kukaa na kufikiri ukajiona hujabarikiwa ila lazima liwepo jambo ambalo wewe unalo lakini mwingine.Ila kwa Hoyce ni Bahati aliyopewa na Mungu.
Kweli Mkuu ingawa sifa kuu ya kupata baraka ni kutenda yaliyo mema na hasa kuwasaidia watu.Kila mmoja kabarikiwa kwa namna yake, unaweza kukaa na kufikiri ukajiona hujabarikiwa ila lazima liwepo jambo ambalo wewe unalo lakini mwingine.
Mh mi mbona nasaidia sana watu ila nina gundu kichizi yan..sijawahi kufanya jambo nikafanikiwaKweli Mkuu ingawa sifa kuu ya kupata baraka ni kutenda yaliyo mema na hasa kuwasaidia watu.
Pole Mkuu ila muda wako wa kufanikiwa bado haujafika. Niamini Mungu hawatupi watenda mema hasa katika kusaidia watu.Mh mi mbona nasaidia sana watu ila nina gundu kichizi yan..sijawahi kufanya jambo nikafanikiwa