Kutoka kwenye maktaba ya Taifa

Kutoka kwenye maktaba ya Taifa

Hahahahaaa.

Basi hata ubalozi waweza ulamba.

Hoyce Temu sidhani kama alikuwa na hizo ndoto
Labda kama hapo nataka umaarufu, ila kwa habari ya mishahara na malupu malupu.. haya magenge yangu ya kuuza nyanya yanatengeza pesa kuliko hizo position pia hata kwenye magenge yangu viongozi huwa nakutana nao na nimekuwa kauzu kuliko dagaa hadi huwa hawanielewi ila wananikubali 😂😂😂😂😂..
 
miaka 15 nyuma kama mitandao ya kijamii ingekua imeshika kasi iliyonayo sasa hivi viongozi wengi wa miaka hii tungepata picha zao za aibu, za kufurahisha na za kuhuzunisha. Tungeweza pata hata kauli zao za chuki na tata ila kwakua Tz tumechelewa kwenye hilo ndiyo maana tunashangaa kila picha.

Hili litaakisiwa miaka 10 mbele.
 
Ila kwa Hoyce ni Bahati aliyopewa na Mungu.
Kila mmoja kabarikiwa kwa namna yake, unaweza kukaa na kufikiri ukajiona hujabarikiwa ila lazima liwepo jambo ambalo wewe unalo lakini mwingine.
 
Kila mmoja kabarikiwa kwa namna yake, unaweza kukaa na kufikiri ukajiona hujabarikiwa ila lazima liwepo jambo ambalo wewe unalo lakini mwingine.
Kweli Mkuu ingawa sifa kuu ya kupata baraka ni kutenda yaliyo mema na hasa kuwasaidia watu.
 
Back
Top Bottom