Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Tuambie ulimuua mbona kama unajiogopa sema maisha yana sarakasi sana
Kuna raia wameenda resi sana na hii pesa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Duuuh hii hatari bado wizi hukuacha
 
Kwanini mnaleta vistori vya kipumbavu ambavyo havina kichwa wala miguu, eti itaendelea nani alikulamisha uilete huku. Shenz.
Lakini ndg, hata wewe mbona hujalazimishwa uisome mkuu! Nyuzi za humu usipoipenda unaweza kupitia kimya ukaacha wenzio wasome. Otherwise Kama aliku tag.

Sent from my Nokia 1.4 using JamiiForums mobile app
 
Duuh mangi ameharibika sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…