Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Isevya, kiloleni mitaa ya hovyo, uhuni na kimafia sana kwa mji wa Tabora.
Juzi nilikuwa maeneo ya kiloleni, napewa story za miaka mingi hadi sasa. Sasa hivi vijana wahalifu wamezua mtindo wa ajabu sana. Wanapokuwa na chuki na mtu, wanaenda polisi kureport na kupewa RB-kwa mashtaka ya kubuni kabisa- kisha wanamsaka mtaani na kumpiga sana kisha ndio wanampeleka polisi.
Ingawa ukilinganisha na miaka ya 90 to 2010 hali imetulia kiasi.
Polisi wakimchoka muhalifu wanamalizana naye. Mwaka 2016 nilikuja hapa tabora, kuna kijana mmoja alikuwa akiitwa duni alikuwa mwizi msumbufu sana. Nimesikia ameuawa. Alipigwa risasi ya tako na kufumua mapumbu. Ujambazi haufai.