Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Jamaa kakamatwa na polisi ndio maana hapandishi tena story hii.Hatari sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kakamatwa na polisi ndio maana hapandishi tena story hii.Hatari sana...
Kuna muda nilikuwa nawabishia watu kuwa waleta story wanazileta kwa Moto mkubwa baadaye wabapotea yaani hapo ndipo wanapopata ubize.Jamaa kakamatwa na polisi ndio maana hapandishi tena story hii.
Au basi kuna jambo nilitaka nicommentWewe una roho ya kishetani tu na laana ya watu uliowaumiza na kuwaliza itakutafuna maisha yako yote. Kuondokewa na wazazi au kuishi kwenye umaskini sio justification ya wewe kufanya mauaji na kunyang'anya mali za watu. Kama intetion ilikuwa kufanya wizi kujikwamua kimaisha pesa uliyopata awali ilikutosha sana kufanya mishe zingine, ulaaniwe kulingana na watu wote uliowaumiza na kuwapora riziki zao walizozitafuta kihalali.
[emoji23][emoji23][emoji23]nikird tena stor hii mniite zuwena huyu jamaa hana maana kabsa
Usifutwe,poker atarudi tuuu,labda Yuko rombo kuwaona wadogo zake na simu aliuza ili apate nauli,soon atarudi na kumalizia storyHUU UZI UFUTWE RASMI UMEPOTEZA SIFA
Wanao unga mkono hoja, gonga likes hapo chini. Sababu haiwezekani watu wazima tulio na akili timamu tukafanyiwa ukatili na Poker wa kutokumalizia story ili jamii ipate kujifunza
Babu hkuna kitu Ni uzushi huudr namugari ukipita unishitue