Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Bora ingekuwa hofu ya dini ni dini imehara kichwani mwako. Prior knowledge tunayopewa kwa nia nzuri wakat mwingine inaweza kuwa kikwazo kikubwa maishani.Inakupa maendeleo vzr tu,shida bongo yako imetiwa hofu na dini.
Mfano maonyo ya wazazi, dini nk..