Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 982
- 1,179
Ndio inawezekana. Matajiri wengi hutumia njia hiyo kukwepa kulipa kodi nyingi.Ninachojiuliz na kukosa majibu kwamba miaka hiyo kulikuwa hamna Bank mpaka MTU akae na pesa ndani?
Kama yule Mhindi akae na 500M nyumbani?