Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 982
- 1,179
Ndio inawezekana. Matajiri wengi hutumia njia hiyo kukwepa kulipa kodi nyingi.Ninachojiuliz na kukosa majibu kwamba miaka hiyo kulikuwa hamna Bank mpaka MTU akae na pesa ndani?
Kama yule Mhindi akae na 500M nyumbani?
Hata Leo wafanyabiashara wengi wanakaa na pesa ndani MKUU.Ninachojiuliz na kukosa majibu kwamba miaka hiyo kulikuwa hamna Bank mpaka MTU akae na pesa ndani?
Kama yule Mhindi akae na 500M nyumbani?
Nimeshamuambia siku nyingi kuwa Ni either mmeru au mwarusha ,Tena Ni tour guide huyu jamaa@@GlennUtakuwa mwarusha au mmeru weqe[emoji1787]
Achana na huyo mwangaChizi Maarifa rfk angu embu fiki mitaa hi pia .....
...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Anamaanisha wale maboss wa magenge ya ujambazi ndo wadosianavyosema wadosi anaamaanisha wahindi ? jamaa walivyowaoga kumbe wanatumaga watu kazi nguvu hivi
Keere mbushaKamanya kure vandu vengi veveecha kevika maksudi tiki.
Akikujibu unitagKwanini hao watu walimshauri afute mkuu?..unahisi ni kwanini?
Mbona mwaka juzi tu; kuna watu walikutwa na bilioni kadhaa ndani tena wamezijaza kwenye majaba.Ninachojiuliz na kukosa majibu kwamba miaka hiyo kulikuwa hamna Bank mpaka MTU akae na pesa ndani?
Kama yule Mhindi akae na 500M nyumbani?