Kutoka magazetini kesho (Yanga)

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,340
Reaction score
12,055
Ebu tutafakari vichwari vya magazeti vya kuibeba Yanga 3/02/2015 kama ilivo ada: 'Yanga yatolewa kiume', nyingine?
 
Ebu tutafakari vichwari vya magazeti vya kuibeba Yanga 3/02/2015 kama ilivo ada: 'Yanga yatolewa kiume', nyingine?

  • Yanga Yafa Kibabe
  • Yanga Kandanda Safi
  • Licha Ya Kutolewa Yanga Gumzo Tunisia
  • Yanga Yatolewa Kimkakati
  • Baridi Kali Yaiathiri Yanga
  • Waarabu Waukubali Mziki Wa Yanga
  • Yanga Kama Bayern Munchen
 
1.Mwamuzi mganda akataa kuhongwa na Manji..yanga yaaga mashindano.
2.Yanga kawa kawa....yachapwa na kuaga
3.Msema ovyo Jerry Muro awa bubu.
4.Mzee Akilimali asema,wametolewa kwa kutofuata masharti ya mganga wake.
 
*Wadaiwa wa Simba waisambaratisha Yanga.
*Dida aacha gumzo Tunisia.
*Refa aiua Yanga.
*Yanga yaendeleza historia kwa timu za kiarabu.
*Yanga yatolewa kiume.
*Sababu____ za Yanga Kutolewa CAF.
 
  • Yanga Yafa Kibabe
  • Yanga Kandanda Safi
  • Licha Ya Kutolewa Yanga Gumzo Tunisia
  • Yanga Yatolewa Kimkakati
  • Baridi Kali Yaiathiri Yanga
  • Waarabu Waukubali Mziki Wa Yanga
  • Yanga Kama Bayern Munchen

shabiki wa yanga
 
1.Mwamuzi mganda akataa kuhongwa na Manji..yanga yaaga mashindano.
2.Yanga kawa kawa....yachapwa na kuaga
3.Msema ovyo Jerry Muro awa bubu.
4.Mzee Akilimali asema,wametolewa kwa kutofuata masharti ya mganga wake.

shabiki wa simba
 
Deni la simba lasababisha Yanga kutolewa japo kwa mbinde
 
1.Mwamuzi mganda akataa kuhongwa na Manji..yanga yaaga mashindano.
2.Yanga kawa kawa....yachapwa na kuaga
3.Msema ovyo Jerry Muro awa bubu.
4.Mzee Akilimali asema,wametolewa kwa kutofuata masharti ya mganga wake.
Yanga nambari one,wazee wa nafasi ya tatu paleee nyuma mpoooo?
 
Jumapili imekuwa njema sana hii....maana ndala wangeshinda tungetafuta kwa kujificha ,kutokana na matusi yao......asante etoile du sahel ingawa refa aliwaonea kwa kadi nyekundu lakini mmedhihirisha umwamba mbele ya wasichana wa jangwani.............
 
Amani tele kitaa! maana hizo nyodo ingekuwa balaa!
 
BRN haipo wizara husika, ni kupuuza tu kama kawaida yao japo wizara ipo na cabinet ipo kula posho tu.
 
Jumapili imekuwa njema sana hii....maana ndala wangeshinda tungetafuta kwa kujificha ,kutokana na matusi yao......asante etoile du sahel ingawa refa aliwaonea kwa kadi nyekundu lakini mmedhihirisha umwamba mbele ya wasichana wa jangwani.............
Wewe funga domo lako usubir azam baadae wakutie za kutosha......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…