Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tutafakari vichwari vya magazeti vya kuibeba Yanga 3/02/2015 kama ilivo ada: 'Yanga yatolewa kiume', nyingine?
- Yanga Yafa Kibabe
- Yanga Kandanda Safi
- Licha Ya Kutolewa Yanga Gumzo Tunisia
- Yanga Yatolewa Kimkakati
- Baridi Kali Yaiathiri Yanga
- Waarabu Waukubali Mziki Wa Yanga
- Yanga Kama Bayern Munchen
1.Mwamuzi mganda akataa kuhongwa na Manji..yanga yaaga mashindano.
2.Yanga kawa kawa....yachapwa na kuaga
3.Msema ovyo Jerry Muro awa bubu.
4.Mzee Akilimali asema,wametolewa kwa kutofuata masharti ya mganga wake.
Yanga nambari one,wazee wa nafasi ya tatu paleee nyuma mpoooo?1.Mwamuzi mganda akataa kuhongwa na Manji..yanga yaaga mashindano.
2.Yanga kawa kawa....yachapwa na kuaga
3.Msema ovyo Jerry Muro awa bubu.
4.Mzee Akilimali asema,wametolewa kwa kutofuata masharti ya mganga wake.
Wewe funga domo lako usubir azam baadae wakutie za kutosha......Jumapili imekuwa njema sana hii....maana ndala wangeshinda tungetafuta kwa kujificha ,kutokana na matusi yao......asante etoile du sahel ingawa refa aliwaonea kwa kadi nyekundu lakini mmedhihirisha umwamba mbele ya wasichana wa jangwani.............