Kutoka Mahakama ya Mafisadi mpaka Mahakama ya Kusamehe Mafisadi...!

Kutoka Mahakama ya Mafisadi mpaka Mahakama ya Kusamehe Mafisadi...!

Nitarudi tena baadae Kukuelewa vizuri kwani kwa sasa nimekusoma lakini nimetoka patupu hasa katika kile unachokilenga.
 
Tunapoteza muda na kuwaumiza watu bure. Acha haki itamalaki au waachiwe huru na watawala ndio wawaombe msamaha. Hapo tutawaelewa..
 
Hivi watuhumiwa wote wa uhujumu uchumi, mngeomba kesi zenu zianze kusikilizwa ndani ya hizo siku za kuomba msamaha, na kama ushahidi hakuna muachiwe huru na kudai fidia kwa muda mliokaa rumande, ingekuwaje?
 
Watanzania sio wajinga na wasahaulifu kivile

Magufuli kwa kinywa chake mwenyewe bila ku-force-wa na mtu yeyote alisema ataanzisha mahakama ya mafisadi.

Matokeo yake ametuongezea mafisadi wakina Bashite wanakwepa kodi bandarini badala waondolewe ofisini anawabembeleza walipe "what shame!

Nchi inanuka rushwa miradi haikaguliwi na CAG vyombo vya habari vimewekwa mfukoni nchi inanuka ufisadi shame!

Matokeo yake miaka 5 imeisha mafisadi kama Chenge, Lugumi &Co yapo mtaani yanadunda!

Mahakama imeyeyuka Rais ushikaji mwingi na blabla eti anapambana na ufisadi !!shame.

Kwenye kampeni atawaambia nini Watanzania?
 
Atawaambia mkanywe kisusio na mbege na ninyi mtashangilia na kurukaruka kwa furaha huku mkipiga makofi
 
Kwa namna alivyo na upeo mfupi lengo Lake anataka kufanya kama alivyofanya uchafuzi serikali za mitaa, Atapata tabu sana.
 
Buku7 zinatusumbua hum jf. Hata anaewalipa kumponda mh rais hajataka tu kukubari kuwa mmeshindwaa? Make hoja zenu nikuponda tu! Ikija comment ya kupongeza mnaifuta! Duh mkubari kuwa mmeshindwa 2020 tuungane kuijenga nchi chini ya mh jpm.
 
Tujikumbushe kidogo
FB_IMG_1577948255350.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Atasema kesi zipo pending, za kina "ERICK KABENDERA na TITO MAGOTI". Japo kesi zao zipo kisutu, ila CCM wanatuchukulia waranzania wote ni "MABOYA" wa kudanganywa.
 
Mkuu, kwa nini usingetumia nguvu ya pilau ulilokula kwa jirani kuzungumzia mafanikio ya TRA kukusanya takrabini Trilioni 2 toka milioni 700 ambazo zilikuwa zinakusanywa wakati Magu anaingia madarakani?
 
Ahadi zake nyingi katimiza
Kasoro chache saana, saana
Ila yote aliyoyaongea katimiza
Kuna mda nilidhan anaongea uongo na hawez kuyafanyia kaz, ila kaweza asei


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom