Atenza imepitwa vibayaNimeishia 28km/L mzee.
Mzigo wang ushafika bandarin ukifika naomba nikuletee unipe heads start tu za apa na paleNimeishia 28km/L mzee.
Exactly! Raha ya gari usikie mngurumo wa engine hasa unapochange gear.Where is the joy in it ...kama hakuna ile harufu ya petrol na roaring sound ya Engine wakati wa kuchange gear. Nawasikitikia kizazi kitachohadithiwa kuwa tulishawahi tumia petrol na Diesel šš with their Silent lazy Ev Motor.
Vipi kwa mjini wastani unapata ngapi?Nimeishia 28km/L mzee.
Si kweli mkuu, wengi hudhani hivyo. Hybrid kwenye highway inatumia mafuta kidogo zaidi.Hiyo Honda fit highway itatumia mafuta zaidi kuliko kwenye foleni. Tegemea chini ya 19km/l kwa highway sababu ya technology ya hybrid inakuja na fuel consumption kwenye foleni na speed ndogo