Uchaguzi 2020 Kutoka Musoma: Kinachoendelea kwenye kampeni siyo hakikubariki

Mbona juzi niliona mashekhe na askofu kwenye mkutano wa CHADEMA
 
Hawa ccm sijui akili walipeleka wapi wanaendesha kampeni kwa gharama kubwa wakati kila mtu
anajua uchaguzi wa mwaka huu ni uchaguza carbon dioxide
 
Kama hamtoi sadaka then kiburi cha hao viongozi wa dini kitaisha lkn since sadaka bado inaendelea kutolewa kwa kasi then tuwe wapole.
 
Ipo shida kubwa bora Askofu wa RC kaombea uchaguzi na taifa, wengine wametoa sala ya Kikada.


Tena na kanisa la RC Bali limejiingiza rasimi kwenye kampeni za CCM,walianza Jana kutumika Mjini Bariadi.
 
sijawahi ona watu wanaolalalamika kama chadema
 
ccm kwisha kazi
 
Kuna swali huwa najiuliza hivi vyama pinzani hawarusiwi kwenda na wasanii??
Hiyo ni sawa na DEDs, DCs, RCs hata MaRPCs kwenda kwenye mikutano ya kampeni za CDM. Aliyewateua atawashughulikia! Vivyo hivyo kwa wasanii, baada ya uchaguzi incase Chadema haikushinda watashughulikwa vibaya sana na upande wa pili.
 
Hiyo kudanganya ebdeleeni nayo nyie. CCM ukweli kwa kwenda mbele
Nakupa mfano wenye nguvu ya kujadili.
[emoji117] Katiba ya tz inampa nguvu rais kuwa na mamlaka makubwa kwenye jambo analotaka kufanya au kulitolea maamuzi na ndiyo maana anafanya akielewa analindwa hata akitoka madarakani hatashitakiwa.

Ni kiongozi gani wa kisiasa anayetaka nafasi ya urais anakwambia akiingia madarakani ataibadilisha katiba ili imbane?.

Endelea kusubiri na utadanganywa mpaka uzeeni mwako.
 
Post yako ina typos nyingi ni dalili kuwa umepanic. Relax. Duwa'a ni sehemu ya utamaduni wetu kama watz. Mengine ni yako.
 
Post yako ina typos nyingi ni dalili kuwa umepanic. Relax. Duwa'a ni sehemu ya utamaduni wetu kama watz. Mengine ni yako.
Hujui kitu wewe kijana typos sijui ndiyo mdudu gani au typographical error ndizo unazotaka kuiaminisha akili yako na wasiojua kitu kama wewe na walio upande wako ndizo unataka ziinekane, mh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…