Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ula ccm wanajua sana kuiba kuraKitu nachoamini mafuriko ya watu huwa yashabihiana Sana na matokeo
Haijawahj tokea ikawa vice versa
Ipo shida kubwa bora Askofu wa RC kaombea uchaguzi na taifa, wengine wametoa sala ya Kikada.
ccm kwisha kaziMoja ya njia zinazotumiwa na serikali ya ccm kuwatumia wachungaji, masheikh nk kufanya kampeni kwenye vizimba vya siasa kwa kigezo cha kufanya sara na dua hakikubariki kwenye medani ya siasa.
Hizi ni njia za kulasimisha na kulainisha wapiga kura kuwaaminisha kuwa huyo ni rais na si mgombea wa nafasi ya urais.
Viongozi wenyewe wa dini wanaendesha dua kwa hofu kabisa na wwnaonekana kabisa wanakosa ule ujasiri tunaoufaham na wanaoutumia jwa waumini wao wanapokosa.
Hali hii inayotumiwa na ccm sidhani kqma inaweza kutumika upande wa pili wa vyama mbadala na ikitumiwa basi viongozi hao wataishi kwa wasiwasi sana, kwenye eneo lao la kazi.
Msema chochote wa ccm polepole anaongea kwa nguvu kutangazia umma kuwa hii ni sherehe ya kuazimisha miaka mitano ya magufuri ah [emoji2955]!!.
Na mama Nyerere pia.sijawahi ona watu wanaolalalamika kama chadema
Hiyo ni sawa na DEDs, DCs, RCs hata MaRPCs kwenda kwenye mikutano ya kampeni za CDM. Aliyewateua atawashughulikia! Vivyo hivyo kwa wasanii, baada ya uchaguzi incase Chadema haikushinda watashughulikwa vibaya sana na upande wa pili.Kuna swali huwa najiuliza hivi vyama pinzani hawarusiwi kwenda na wasanii??
Nakupa mfano wenye nguvu ya kujadili.Hiyo kudanganya ebdeleeni nayo nyie. CCM ukweli kwa kwenda mbele
Askofu nani huyo wa RC tumwambie Papa.Ipo shida kubwa bora Askofu wa RC kaombea uchaguzi na taifa, wengine wametoa sala ya Kikada.
Hujui kitu wewe kijana typos sijui ndiyo mdudu gani au typographical error ndizo unazotaka kuiaminisha akili yako na wasiojua kitu kama wewe na walio upande wako ndizo unataka ziinekane, mh!Post yako ina typos nyingi ni dalili kuwa umepanic. Relax. Duwa'a ni sehemu ya utamaduni wetu kama watz. Mengine ni yako.