Kutoka Muziki wa Hip Hop hadi kuwa viongozi

Kutoka Muziki wa Hip Hop hadi kuwa viongozi

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa:

1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA'
Ni Mbunge wa Muheza pia ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

2. Nickson Simon 'Nikki wa Pili'
Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mwaka 2021 na baadaye kuhamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha mwaka 2023 hadi sasa.

3. Joseph Haule 'Profesa Jay'
Alikuwa Mbunge wa jimbo la Mikumi - Morogoro kupitia CHADEMA, mwaka 2015 hadi 2020

4. Joseph Mbilinyi 'Sugu'
Alikuwa Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, mwaka 2010 hadi 2020.
 
Back
Top Bottom