Kutoka mwindaji wa Ethiopia hadi Chifu wa Wahehe

Kutoka mwindaji wa Ethiopia hadi Chifu wa Wahehe

Nikweli umbali haukua tatizo kwa watu wa zamani,babu yangu aliwai kuniambia kua yy na kaka yake walitokea younde Cameroon mpaka Zaire baadae wakaja Tanganyika
Lakini vijitu vya siku hizi kama akina Da'Vinci na mwenzake Mbao za Mawe kutembea kutoka mitaa ya Gerezani Kariakoo hadi Mnazi Mmoja wapo hoi utadhani wametoka kulimishwa
 
Mmh mi najua Wahehe ni Wabantu inakuaje tena wawe Hamitics kutoka Ethiopia.
Halafu kila kabila kubwa Tz husema wametoka Ethiopia mfano Wasukuma, Wachaga n.k ni kwa nin?

These people are dillusional mkuu....

Ethiopia origin is a myth tu.....DNA evidences hazikubaliani na hiyo kitu...

Always Wabantu wanapenda kua na asiatic features,unfortunately we are bantu and let us be proud!
 
Kama kaburi lake halikuonekana,ilijulikanaje kuwa aliuliwa na nyati ndugu msimuliaji?
 
nimekupenda ghafla mleta uzi, ni ngum sana kupata hiv vtu ktk haya maisha tuliyopo inahitaji juhudie meona jina la bib zangu.wote sekinyaga na sekind.......
 
Daah nimeipenda sana najivunia kuwa mhehe [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mleta mada naomba unisaidie Luhota ni eneo gani kwa sasa ? Natanguliza shukrani
 
Wahehe ni moja ya makabila ya mwanzo kupata wasomi sababu ya wamisionary. Ila wanaogopa sana kwao sababu ya kupigana juju. Nani ataenda kuandika hiyo historia? Hajipendi?
 
nimekupenda ghafla mleta uzi, ni ngum sana kupata hiv vtu ktk haya maisha tuliyopo inahitaji juhudie meona jina la bib zangu.wote sekinyaga na sekind.......
Sekindole nn[emoji846]
 
Back
Top Bottom