Kutoka mwindaji wa Ethiopia hadi Chifu wa Wahehe

Kutoka mwindaji wa Ethiopia hadi Chifu wa Wahehe

Kama simulizi ya kutunga kwa sababu mtu kutoka Ethiopia hadi Iringa, kwa kuwinda nyati?? Kama lilikuwa ni kundi la wawindaji sawa. Wakati wakwenda ugenini hakuuawa na nyati ila wakati hatoroka ndo ana uawa na nyati hao hao, aliozoea kula nyama yao. Je, alitoroka na kundi la watu, walioshuhudia akiuawa na nyati?
Kuna umri na siku yako ikifika imefika tu, mimi dereva na nimeshuhudia madereva kibao wakifa kwa ajali. Wengine nyakati za kujifunza wengine uzoefu na wengine after kujua kwa hiyo hii sio hoja.
Kuhusu kutembea umbali mrefu hivyo ndio ilikuwa kawaida miaka hiyo, unaweza kwenda kwa makundi na kujikuta peke yako. Mfano mnatoka ethiopia 200 kericho wakapata sehemu nzuri 100 wakabaki, Taveta 30 watekwa kama watumwa,Masai land 20 wakapokelewa na kuamua kubaki,40 wakafa njiani, Watano wakapoteana njiani wengine wakajikuta Usukumani, Wa3 wakaoa uruguluni, wawili wakafika uheheni na kuoa.
Kuna makabila kama wanyamwezi toka cameroon,wangoni from S.A, wabena wakajitawanya pwani hadi tanga etc
Kipindi hicho hakukuwa na treni,gari wala ndege ni mwendo wa rege tu.
 
Back
Top Bottom