Kutoka mwindaji wa Ethiopia hadi Chifu wa Wahehe

Kuna umri na siku yako ikifika imefika tu, mimi dereva na nimeshuhudia madereva kibao wakifa kwa ajali. Wengine nyakati za kujifunza wengine uzoefu na wengine after kujua kwa hiyo hii sio hoja.
Kuhusu kutembea umbali mrefu hivyo ndio ilikuwa kawaida miaka hiyo, unaweza kwenda kwa makundi na kujikuta peke yako. Mfano mnatoka ethiopia 200 kericho wakapata sehemu nzuri 100 wakabaki, Taveta 30 watekwa kama watumwa,Masai land 20 wakapokelewa na kuamua kubaki,40 wakafa njiani, Watano wakapoteana njiani wengine wakajikuta Usukumani, Wa3 wakaoa uruguluni, wawili wakafika uheheni na kuoa.
Kuna makabila kama wanyamwezi toka cameroon,wangoni from S.A, wabena wakajitawanya pwani hadi tanga etc
Kipindi hicho hakukuwa na treni,gari wala ndege ni mwendo wa rege tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…