Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Bila shaka wewe ni demu "mkali" wa bongo!!
 
Inaonekana wewe hujui kutofautisha demu mzuri na mbaya.ebitoke ni demu mzuri sana she is natural beauted,nice hussler,enriched wit confidence than all women in dis world ndo maana kaexpress feelings zake bila aibu
Then she iz more than beauty couse bado hajakutana na hogo la kidume yoyote.so, bennypaul atafaidi kwa kweli.TIMU WIVU MiKONO JUU MWENDO WA MATEKA
 
ebitoke unamfananishaa na dada ako yupi.manake dada zako hata hawatizamiki yupi anauefanan na ebitoke achaa dharau ebitoke ana ubayaa gani??watu wengine bwana.kwanza huyo ben naye hana lolote mchicha mwibaa tu tunomjuaa huwa twacheka kwa dharau
Mchicha Mwiba! Maskini daah, inasikitisha!
 


Heshimu hisia za wanadamu wenzako.
 
Huo ni mtazamo wako tu mtoa mada binafsi naona ni sawa tu sababu ni maisha waliyoyachagua
 
Hivi ni kweli au kick tu?? Sema kibaya kwako kizuri kwa mwenzio. Huwezi jia mkuu hata wewe wanakusema girlfriend wako mbaya wakati wewe unamuona kifaa.
 
Anaishi atakavyo na sio wafuasi wake watakavyo,hivi uwe na mtu wa kusema hadhi moja halafu kila leo ndani hamuelewani kisa na yeye anataka kuishi kama wenye hadhi wenzie(wasanii,kwa siku tu matumizi hayapungui 500,000).je wote mnaweza.?
 
Mbovu kivipi umeshaona machine yake au wewe unaangalia sura tu.
 
Kumbe ka Ebitoke ni kazuri kiasi. Salon shkamoo.
 
hakun mwa'ke mbaya.. ni matunzo tu hawanaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…