The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,579
- 17,011
Nikikupata milele nitafurahi nitaimba na kucheza hadi mwisho wa uhai uzuri sio sura maa........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio dharau,hiyo ni dalili ya wivu uliopitiliza,anaongea ili kujiliwaza nafsi yake.Kwann unasema hivyo? Acha dharau Mtarban
Bila shaka wewe ni demu "mkali" wa bongo!!Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Bila kupepesa macho, ebitoke ni mzuri sana, inasikitisha miaka 3 baadae anaweza kuja kuwa 'mzungu'.
Mchicha Mwiba! Maskini daah, inasikitisha!ebitoke unamfananishaa na dada ako yupi.manake dada zako hata hawatizamiki yupi anauefanan na ebitoke achaa dharau ebitoke ana ubayaa gani??watu wengine bwana.kwanza huyo ben naye hana lolote mchicha mwibaa tu tunomjuaa huwa twacheka kwa dharau
Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Etiii halafu mwenzie aitwe shoga bure.Ulitaka Ben pol aiache mbunye imejileta yenyewe?