Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
ebitoke unamfananishaa na dada ako yupi.manake dada zako hata hawatizamiki yupi anauefanan na ebitoke achaa dharau ebitoke ana ubayaa gani??watu wengine bwana.kwanza huyo ben naye hana lolote mchicha mwibaa tu tunomjuaa huwa twacheka kwa dharau
Hahahaha mtoa post linakuhusu hiliBasi wewe toka na huyo Ben Pol
acha wivu ww waache na maisha yao kwan we wanakuzuia nn, wabongo bana. wamependana wengine huku wengine wanaumia na kutoka mapovu
Mkuu naona jamaa kakuwai!Sawa mkuu
Mapenzi yyte lanzima yupo aliyeyaanzisha sema ww umekalili. Kua nilazima mwanaume ndo auaanzishe ayo mapenzihawajapendana Bali ebitoke kampenda Ben ingawa Ben najua hakuwah kumfikiria ebitoke, lkn kwa kuwa hana swaga ameona atumie hiyo fursa
Ningekuwa Benitoke ningeunda tume ya dharula kupeleleza uzuri wa Ebitoke
Kazini anakuwa Makanikia kwenye Red Kapeti anakuwa Dhahabu yenyewe
Kutoka kwenda wapiBila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Uzuri au ubaya,ni mtazamo wa mtu binafsi,mzuri kwako,mbaya kwa mwingune,and the viceverser,is true.hawajapendana Bali ebitoke kampenda Ben ingawa Ben najua hakuwah kumfikiria ebitoke, lkn kwa kuwa hana swaga ameona atumie hiyo fursa
Kwann unasema hivyo? Acha dharau Mtarban
Kwanza kabisa maneno yako na bandiko lako linaonyesha hujaoa na huna mpango huo hivi karibuni na pia wewe ni limbuken wa maishaBila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.