Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Aliyeleta huu uzi hawezi kuwa mwanaume....amini nakuambia hizo za mleta uzi na kila alicholeta vinaqualify kuwa mwanamke tena mjamzito wa kujifungua miezi miwili au hata mmoja tokea alete huu uzi.

nijutoe hofu kuwa aliyeleta Uzi ni mwanaume
 
nijutoe hofu kuwa aliyeleta Uzi ni mwanaume
Mwanaume gani unaumbea wa kikekike na mbaya zaidi unamwonea wivu mtoto wa kike kupigwa dudu na bernad paulo....acha hizo kama kweli unataka kuwa wa kiumeni.
 
Kama una mama mzuri mpe ili ben pol awe baba ako...mijitu kama ww mnatoka familia zenye shape mbovu mpk kelo...
 
Huyoooo aliyezaaa tutusa kazaaa mwanadanu
Heri mama unayeona amebarikiwa kuliko...wanawake wote Hata chizi ana mama
 
Wanasema.duniani hapa...hata umuone...demu...mkali vipi kuna.mwanaume...au...wanaume...wanamuona wa kawaida sana na..kwa...nyakati...tofauti waliuchoka..utupu wake.
 
Ebitoke unakimbilia kubomolewa ungo halafu hujatuuliza wahenga usijesema hatukuwepo
 

teh teh teh teh ana ukali gan sasa huyo? kweli wabongo mnajuwa kufariji
 
Kwani huyu Ben Pol mwanamke wake aliyezaa nae yuko wapi?.. basi mimi nilidhani yeye na Ebitoke wanafanya mzaha tu....kama ni kweli basi hatari namna hii.
 
Siyo dharau Mkuu, Mimi nimesema ukweli tu
Ukwel upi, hana haki ya kupendwa? Au ndo ile ukiwa star basi lazma uwe na dem mkaliii ambaye unajua kabsa malengo yako nae hayatatimia zaid ya show offs tu
 
mungu alituumba wote kwa mfano wake tuache kudharauliana ww mtoa post ni mbaguzi tu unapenda kuweka matabaka big up ben pour
 
Yaelekea dada yako kamwagwa,uguza maumivu tu! alitakalo Mola mwanadamu atasubiri sana.
 
teh teh teh teh ana ukali gan sasa huyo? kweli wabongo mnajuwa kufariji
Asingekuwa mkali usingepoteza muda wako kumjadili, umemkubali ndiyo maana unamjadili. Mwanamke mkali anayejitambua hupanga atoke na nani siyo kupangiwa. Kapanga kutoka na Benpol na kafanikiwa.
Huo ndiyo ukali wenyewe. Hata wewe angekuamlia usingechomoka labda kama unatokea sayari ya Mars. In short binti ni mzuri mengine tumwachie yeye.
Leo hii yuko mitandaoni zaidi anatengeneza pesa hawezi kuzinguliwa na mtu. Chezea wahaya wewe. Kwenye mapenzi ndiyo fani kuu akikuinulia bango huchomoki. Uliza Slaa aliko sasa hivi kaacha siasa kisa mama wa kihaya.
 
Ulitaka Benpol atoke na wewe?
Nenda kamwambie kama alivofanya Ebitoke huenda akakufikiria.
 
Ebitoke!
Kiboko ya maduu wote mjini...Hahaaa kawakamata pabaya sana huyu manzi anajua timing ya kupata anachokitaka.
Halafu Ben Pol ni mjanja sana...anajua maana ya huu usemi "mwanamke akikupenda atakupa maisha ya furaha sana na kukufanya ujisikie mwenye amani wakati wote".
Yote kwa yote kila mtu na wake hakuna alozaliwa aishi peke yake na Ebitoke kajipatia wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…