Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Mimi anachonikera tukiwa kitandani tunasex muda wa kupumzika kutafuta round inayofuata ndio anaanza "utanioa lini?" "Lini utakuja kujitambulisha kwetu?"

Huwa ananikata stimu sana huyu manzi age yake 33 ana wasiwasi sana umri sio rafiki
Washagonga 30 something huwa wasumbufu, visirani, kero mtindo mmoja.

Dawa kuwakazia tu akielewa SoMo haya asipoelewa piga chini.

Women have biological timeframe

Men have financial timeframe
 
Bora hata hao wanaouliza utanioa lini kuliko Hawa wengine wanaowaita wapenzi wao" Mume wangu" na sio mume wake,inaonesha ni jinsi gani walivyo desperate. That aside, Kuna wanaume pia wanalazimisha ndoa kwa mwanamke ambaye hayuko tayari kuolewa.
 
Bora hata hao wanaouliza utanioa lini kuliko Hawa wengine wanaowaita wapenzi wao" Mume wangu" na sio mume wake,inaonesha ni jinsi gani walivyo desperate. That aside, Kuna wanaume pia wanalazimisha ndoa kwa mwanamke ambaye hayuko tayari kuolewa.
Kama hauko tayari kuolewa unamkubalije mwanaume, huko ndio kudanga sasa.
 
Sasa kama kazi yako ikiwa imeshakamilika aendelee kusumbua kwanini?
 
Mi nahisi kushupalia ndoa ni ishara ya kutojiamini!au goal digger!
mi nikipendwa hata muda wa kujadili ndoa sinaga yani nafurahi tu na mpenzi mambo mengine nasahau!

Kikubwa nnachowazaga ni nifanye kazi nipate hela maisha yangu yaende haya mengine huwa sijali
 
Mtindo ulikuwa mwakani 🤣 mwisho wa siku nilibidi nikimbie tu.
 
Maswali haya uulize mkiwa mmeshibana kwa miaka 3 au zaidi. Sio uhusiano hata miezi 6 hauna unaanza kukazania ndoa lazma muhuni aingie mitini.
 
🤣 Nampa pombe anywe ili kupooza machungu 🤣 maana hata mimi na mama yake kuna muda tunatibuanaga.
 


Si unaweza mwacha ukatafuta asiye na kiu ya kuolewa?
 
Upo sahihi. mimi Kuna Mademu wawili wameolewa na Wana Waume zao ila Ndio haipiti Mwezi wananitafuta .. Na Mwingine ana mtoto kabisa ..

Wanaume tushaambiwa tuishi nao kwa. akili.. Na Akili moja Wapo ni Kuoa Bikra ili Uwe na Uhakika zaidi
Kingind oa msichana wa ujana wako tu. Yule mliekuwa mnazagamuana toka akiwa mdogo ndio muoe maana wewe ndie utakuwa X mwandamizi.
 
Yaani kuna mmoja alikuwa stress wenzie wameolewa akaforce ndani ya miezi mitatu niwe nimeshamuoa pia anataka harusi awafunike Rafiki zake wote na anunuliwe Pete ya Tanzanite..duuh nkapiga chini mapema...
Hongera kwa kushtuka mapema.

Mzee baba ulikua unaenda kupigwa ngumi ndoige. Ulikua unaenda kufanywa boya la kumpa heshima ya kua ameolewa, halafu nje ya box aendelee kula bata na mabwana zake wa zamani kwa kisingizio kuachana sio uadui [emoji3][emoji3][emoji3]. Ogopa sana pisi zenye hizo mentality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…