Gilbert Clavery
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 438
- 361
Uko nchi gani kwa Sasa.Simba akishinda leo nahama nchi!!🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko nchi gani kwa Sasa.Simba akishinda leo nahama nchi!!🙁
Wana mbwembwe hao mara tanapa wanamuomba waziri aingilie kati mnyama anafanya madhara mikoa ya kanda ya ziwa basi alakuli hali majisifu yasio na kifani sasa wanasema wachezaji hawajalipwa mishahara ya mwezi wa kumi ndo maiti ya kiswahili tena haikosi sababu.
hahahahahaaaa kwani ule mpango wa kuiuza klabu umekamilika?Mtani ungekuwa karibu ningekununulia japo maji au soda ushushe pumzi[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Ndio wameanza ligi hivyo wawe wastahmilivu tu.
Ni kweli kabisa. Bado mzunguko wa piliNdio wameanza ligi hivyo wawe wastahmilivu tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Wana mbwembwe hao mara tanapa wanamuomba waziri aingilie kati mnyama anafanya madhara mikoa ya kanda ya ziwa basi alakuli hali majisifu yasio na kifani sasa wanasema wachezaji hawajalipwa mishahara ya mwezi wa kumi ndo maiti ya kiswahili tena haikosi sababu.
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]hahahahahaaaa kwani ule mpango wa kuiuza klabu umekamilika?
Sisi familia yake ya Mbeya tumezipatq salamu hizo... asante kwa kutusalimiahahahahaha shemeji umeamua kunituliza kijanjaa, ila haya matokeo yanauma sana shemeji.
Mimi nimekumis sana pia, salamu kwa familia yako
Huyo sembo sio mchezo akianza kukupangia kikosi kisha akwambia kuna wengine hawajagusa ila nao wana uwezo mkubwa tu yaani simba ina kikosi kipana tunamwambia ndugu mbona ndio pamepambazuka tu safari bado ooh hii simba itakuwa bingwa afrika eeh[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mkuu unanivunja mbavu, jamaa wakikusikia hawatokuacha hivi hivi.
Eti wana mbwembwe, labda waziri alikuwa bize bungeni
Mkuu unanivunja mbavu [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Huyo sembo sio mchezo akianza kukupangia kikosi kisha akwambia kuna wengine hawajagusa ila nao wana uwezo mkubwa tu yaani simba ina kikosi kipana tunamwambia ndugu mbona ndio pamepambazuka tu safari bado ooh hii simba itakuwa bingwa afrika eeh
Hahaaaa umenifrahisha sana wew mtoto wa kikePrisons Mungu anawaona, mnawafanya nini mabingwa wetu wa mwaka huu.😎 😵😛