Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
mkuu kwani nawe ni mbumbumbu fan?Kupenda soka kaz kwelkwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwani nawe ni mbumbumbu fan?Kupenda soka kaz kwelkwel
Nikikujibu itakua nakuonea bure tu mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mchezo unaonyesha kuwa tumezidiwa kimchezo na wala hakuna muamala uliofanyika...
Sisi sio kama wale
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila ujue nini Nifah...Simba wanapoteza mechi zao kwa sababu ya 'hangover' ya kupanda Ndege....
Simba na kupanda ndege wapi na wapi, wao zao ni Yutong tu...Viherehere vyao vya kuwaiga Yanga (Wa Kimataifa) kupanda ndege ndo vinawaponza mpaka wanafungwa, maana wachezaji badala ya kuwaza mechi wanawaza safari ya kurudi Dar kwa ndege....Losers
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa Prisons watatukosesha ujio wa watalii baada ya kumaliza Simba mbugani
Umeongeza siku za kuishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah nimecheka sana.
Mzee mwenzangu kwema?poleni ndio mchezo huo una matokeo ya aina tatu.Wazee wa miamala wanafahamika kijana.....
Kawaulize Kagera sugar
Endelea nayo wala sio roho mbaya upo penye njia sahihi kabisa jaribu kuwa mshabiki wa hiyo timu uone kama magonjwa nyemelezi hayata kuandama mpaka utajuta.Sijui kwanin nakuwa na aman simba anapofungwa,kwakweli roho mbaya hii sielewi hata wapi nimeitoa
Mzee mwenzangu kwema?
Nikikujibu itakua nakuonea bure tu mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Upande sio kwema unajulikana pole kwa hilo na upande kwema nadhani itakuwa afya na mambo kama hayo au nimekosea mzee mwenzangu?Upande kwema....upande si kwema mzee mwenzangu.....
Mkuu punguza hasira.kuna kamchezo ukishakaanza kuacha inakua ngumu sana 0712 ya mwenzetu inatumiwa sana
Cha kuchekesha sembo anasoma hizi comments zote kwa uchungu na hawezi kujibu ili kuthibitisha kauli yake ileeee yupo eneo KOROFI
Upande sio kwema unajulikana pole kwa hilo na upande kwema nadhani itakuwa afya na mambo kama hayo au nimekosea mzee mwenzangu?
Kumbe tupo pamoja jangwani au umetoa pole kama muungwana yoyote anapokuta mahala pana msiba?Teh teh teeeeh!! Pole sana Freeland