Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Ila ujue nini Nifah...Simba wanapoteza mechi zao kwa sababu ya 'hangover' ya kupanda Ndege....

Simba na kupanda ndege wapi na wapi, wao zao ni Yutong tu...Viherehere vyao vya kuwaiga Yanga (Wa Kimataifa) kupanda ndege ndo vinawaponza mpaka wanafungwa, maana wachezaji badala ya kuwaza mechi wanawaza safari ya kurudi Dar kwa ndege....Losers
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo wakitaka kuendelea kushinda bora waendelee na usafiri wao mkuu?
Dah watu wabaya sana.
 
kuna kamchezo ukishakaanza kuacha inakua ngumu sana 0712 ya mwenzetu inatumiwa sana
 
Sijui kwanin nakuwa na aman simba anapofungwa,kwakweli roho mbaya hii sielewi hata wapi nimeitoa
Endelea nayo wala sio roho mbaya upo penye njia sahihi kabisa jaribu kuwa mshabiki wa hiyo timu uone kama magonjwa nyemelezi hayata kuandama mpaka utajuta.
 
Back
Top Bottom