Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mkuu unanivunja mbavu, jamaa wakikusikia hawatokuacha hivi hivi.
Eti wana mbwembwe, labda waziri alikuwa bize bungeni
 
hahahahaha shemeji umeamua kunituliza kijanjaa, ila haya matokeo yanauma sana shemeji.

Mimi nimekumis sana pia, salamu kwa familia yako
Sisi familia yake ya Mbeya tumezipatq salamu hizo... asante kwa kutusalimia
 
Jamani kwa nini Kichuya hakupangwa leo??????!???????????
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mkuu unanivunja mbavu, jamaa wakikusikia hawatokuacha hivi hivi.
Eti wana mbwembwe, labda waziri alikuwa bize bungeni
Huyo sembo sio mchezo akianza kukupangia kikosi kisha akwambia kuna wengine hawajagusa ila nao wana uwezo mkubwa tu yaani simba ina kikosi kipana tunamwambia ndugu mbona ndio pamepambazuka tu safari bado ooh hii simba itakuwa bingwa afrika eeh
 
Mkuu unanivunja mbavu [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sembo kakimbia
 
Simba washa nogewa na huu utamu!!!
 
Mkuu wataandika simba kashikwa kalio na wajelajela orijino.hahaha aman kwenu mikia msije mkaanza kutembezeana bakora lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…