Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Kwema nimefurahi kufungwa nyie pia afya yangu na familia ni njema basi burdaaaaan ila kiukweli mnapita katika kipindi kigumu poleni sana.Hewaa hujakosea mzee mwenzangu.....
Vipi lakini kwa upande wako.....kwema pande zote mbili....!!???
We kaka jamani ulikua wapi?Hewaa hujakosea mzee mwenzangu.....
Vipi lakini kwa upande wako.....kwema pande zote mbili....!!???
Ila hongera nadhani kuna bibie humu alikufungulia uzi inaweza kuwa faraja na kimbilio lako maana misiba inaandamana mwisho mbavu zitauma kulala matanga.Upande kwema....upande si kwema mzee mwenzangu.....
We kaka jamani ulikua wapi?
Ila hongera nadhani kuna bibie humu alikufungulia uzi inaweza kuwa faraja na kimbilio lako maana misiba inaandamana mwisho mbavu zitauma kulala matanga.
Salama tuMimi nipo binti.....habari yako.....!!!??
Salama tu
Timu ya simba iliyotoka kufungwa na African Lyon imeangukia pua tena na leo kwa kipigo cha 2-1!!
Mie yanga aisee!!Kumbe tupo pamoja jangwani au umetoa pole kama muungwana yoyote anapokuta mahala pana msiba?
Hata paka mzito bwana.Simba amedhoofu amekua mwepesi kama paka wa jela.
Shemeji upo sehemu salama kabisa hapo magonjwa nyemelezi na stress zisizo rasmi hukutani nazo. Ila nawapongeza viongozi wa simba wametoa semina elekezi maana hii mechi ya pili wanafungwa na hakuna hata kiti kimoja kilichokumbwa na dhahma tuwapongeze kwa hili.Mie yanga aisee!!
Hat Dar hasumbui maana kuna Africa Lyonhahahaa huyu simba anasumbua dar tu huko mkoani watu si wa mchezo mchezo
Kwakweli kwa hilo wanastahili pongezi.Shemeji upo sehemu salama kabisa hapo magonjwa nyemelezi na stress zisizo rasmi hukutani nazo. Ila nawapongeza viongozi wa simba wametoa semina elekezi maana hii mechi ya pili wanafungwa na hakuna hata kiti kimoja kilichokumbwa na dhahma tuwapongeze kwa hili.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hat Dar hasumbui maana kuna Africa Lyon
USA baby🙂Uko nchi gani kwa Sasa.
Shukran danny sikuuona huu mchezo