Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Timu ya simba iliyotoka kufungwa na African Lyon imeangukia pua tena na leo kwa kipigo cha 2-1!!
 
Mie yanga aisee!!
Shemeji upo sehemu salama kabisa hapo magonjwa nyemelezi na stress zisizo rasmi hukutani nazo. Ila nawapongeza viongozi wa simba wametoa semina elekezi maana hii mechi ya pili wanafungwa na hakuna hata kiti kimoja kilichokumbwa na dhahma tuwapongeze kwa hili.
 
Wamenunua mechi weee mpaka hela za kuwalipa wachezaji wao mishahara zimekosekana wanaanza kupoteana...haya sasa kafungwa huko mbeya wafanye mpango wakawatoe hata kwa parole
 
Shemeji upo sehemu salama kabisa hapo magonjwa nyemelezi na stress zisizo rasmi hukutani nazo. Ila nawapongeza viongozi wa simba wametoa semina elekezi maana hii mechi ya pili wanafungwa na hakuna hata kiti kimoja kilichokumbwa na dhahma tuwapongeze kwa hili.
Kwakweli kwa hilo wanastahili pongezi.
 
Back
Top Bottom