Ni raia wa Msoga😉Kwan na ww n raia wa Tanzania ???
Wakiendelea kupanda ndege watafungwa kila mechi wanayosafiti...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo wakitaka kuendelea kushinda bora waendelee na usafiri wao mkuu?
Dah watu wabaya sana.
fafanua mkuuwewe hujajua tu kuna hujuma zinafanyika za kutosha nyuma ya pazia
h nimecheka.... Mikia banaUnamaanisha Tanzania Prisons wamenunua mechi......?
au
African Lyon.
Acheni hizo aisee... Wanauwezo wa kuwafunga.
Tatizo la paka kujifanya Simba.Simba amedhoofu amekua mwepesi kama paka wa jela.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamenunua mechi weee mpaka hela za kuwalipa wachezaji wao mishahara zimekosekana wanaanza kupoteana...haya sasa kafungwa huko mbeya wafanye mpango wakawatoe hata kwa parole
Mkuu huu mchezo hauhitaji hasira, mlicheka sana Yanga alipofungwa na Stand United halafu akaja akachezea kichapo cha Mbeya City! Sasa yako upande wenu kuweni wapole tu!! Na mechi ijayo mnasuluhu!!Mkuu mbona inafahamika....au umetoka usingizini...!!??
Sasa mtaupataje wakati wenzenu wamanunua game zote? [emoji23]Sisi tunataka ushindi wa halali na ubingwa wa halali sio ushindi wa na ubingwa wa laana.....
Kuna mwenzako humu amechanganyikiwa mpaka anasema eti Prisons FC wamenunua mechi....... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We lost the game, fairly.
Hakuna visingizio hapo, kuna makosa ya wazi kwa upande wa safu ya ulinzi leo (hakuna tight marking). Goal scorer wa Prison hakuwa disturbed kabisa, katikati pale Prison walifanya tibua tibua, final 15mins simba wakapanic. WE LOST IT
hahahaaaaaaaaKuna mwenzako humu amechanganyikiwa mpaka anasema eti Prisons FC wamenunua mechi....... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika nikiri bila Juuko beki ya simba silolote.Wapenzi wa Jf tukutane round ya mwisho.Kama simba atachukua ubingwa kwa kucheza namna hii basi itakua muujiza! Nikiri tumelogwa na kulogeka baada ya kufungwa na Lyon.All the best,kwaherini.
[emoji23]Tulia kama unanyolewa, Simba anashinda hii game
Kwa upande mmoja; niwapongeze mikia fc kwa kutunyamazisha kwa muda mrefu, maana baadhi yetu tuliona ugumu sana kuingia hapa jukwaani na ku_comment wakati mikia wanatamba huku timu ya wananzengo ikisuasua. Nilikuwa nasoma comments za sembo bila ku_comment maana sikuwa na hoja tena, hali hii ndiyo imempata sembo; kwa kweli, nature is very kind, ni kutesa kwa zamu.Cha kuchekesha sembo anasoma hizi comments zote kwa uchungu na hawezi kujibu ili kuthibitisha kauli yake ileeee yupo eneo KOROFI
Wengine tulikuwa tunakomaa nae na kumueleza aweke akiba ya maneno na nadhani ni sahihi timu yako ikiwa haifanyi vizuri sio tiketi ya kukimbia vita unajibu japo kwa uchungu.Kwa upande mmoja; niwapongeze mikia fc kwa kutunyamazisha kwa muda mrefu, maana baadhi yetu tuliona ugumu sana kuingia hapa jukwaani na ku_comment wakati mikia wanatamba huku timu ya wananzengo ikisuasua. Nilikuwa nasoma comments za sembo bila ku_comment maana sikuwa na hoja tena, hali hii ndiyo imempata sembo; kwa kweli, nature is very kind, ni kutesa kwa zamu.
Kwa upande wa pili; niwape pole sana mikia fc kwa kuweka record ya kucheza mechi 13 na kufungwa goli 3 tu na kujikusanyia pointi 35 huku wakipoteza pointi 4 tu lakini hatimaye wakicheza mechi 2 tu za mwisho na kupoteza pointi 6 na kufungwa magoli 3, hii rekodi itachukua muda mrefu sana kuvunjwa si na timu yoyote bali hata mikia fc yenyewe.
Nilikuwa namsoma tu kwenye comments zake nikijua siku moja atakaa kimya tu maana mikia fc haina consistent performance. Hongera Mkuu kwa kukomaa naye siku zote. Tuko pamoja sana.Wengine tulikuwa tunakomaa nae na kumueleza aweke akiba ya maneno na nadhani ni sahihi timu yako ikiwa haifanyi vizuri sio tiketi ya kukimbia vita unajibu japo kwa uchungu.
Hongera nawe pia ndugu yangu jamaa yako siku hizi anakosa hoja anajibu kwa emoj tumvumilie tu kuhusu kutuombea dua baya wacha aombe huku kakaa nje sisi tunaomba na kucheza pia ni vitu viwili tofauti.Nilikuwa namsoma tu kwenye comments zake nikijua siku moja atakaa kimya tu maana mikia fc haina consistent performance. Hongera Mkuu kwa kukomaa naye siku zote. Tuko pamoja sana.
Sasa ni wakati wake sembo kusoma hizi posts na kuziacha kama zilivyo, matumaini yake yote kayaweka kwa Ruvu Shooting akidhani tutafanya makosa tena jioni hii.