Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

ea3d183e8897515a071f16e655804578.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo wakitaka kuendelea kushinda bora waendelee na usafiri wao mkuu?
Dah watu wabaya sana.
Wakiendelea kupanda ndege watafungwa kila mechi wanayosafiti...

Waendelee na Yutong lao..Ndege wawaachie Wa Kimataifa...
 
Wamenunua mechi weee mpaka hela za kuwalipa wachezaji wao mishahara zimekosekana wanaanza kupoteana...haya sasa kafungwa huko mbeya wafanye mpango wakawatoe hata kwa parole
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jeneza likiwa kubwa kuliko kaburi, busara pekee ni kuongeza ukubwa wa kaburi, siyo kumtoa marehemu kwenye jeneza kisha kubomoa jeneza kupunguza.
Simba wamepoteza game, fairly kabisa. Technical bench ipewe nafasi ifanye kazi ya kurekebisha makosa, siyo kuanza kelele za lawama na kutaka watu wabomoe jeneza badala ya kushughurikia kaburi.
 
Mkuu mbona inafahamika....au umetoka usingizini...!!??
Mkuu huu mchezo hauhitaji hasira, mlicheka sana Yanga alipofungwa na Stand United halafu akaja akachezea kichapo cha Mbeya City! Sasa yako upande wenu kuweni wapole tu!! Na mechi ijayo mnasuluhu!!
 
We lost the game, fairly.
Hakuna visingizio hapo, kuna makosa ya wazi kwa upande wa safu ya ulinzi leo (hakuna tight marking). Goal scorer wa Prison hakuwa disturbed kabisa, katikati pale Prison walifanya tibua tibua, final 15mins simba wakapanic. WE LOST IT
Kuna mwenzako humu amechanganyikiwa mpaka anasema eti Prisons FC wamenunua mechi....... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika nikiri bila Juuko beki ya simba silolote.Wapenzi wa Jf tukutane round ya mwisho.Kama simba atachukua ubingwa kwa kucheza namna hii basi itakua muujiza! Nikiri tumelogwa na kulogeka baada ya kufungwa na Lyon.All the best,kwaherini.

Si nilikuambia lakini? Mmejisahihisha makosa kama ulivyodai?
 
Cha kuchekesha sembo anasoma hizi comments zote kwa uchungu na hawezi kujibu ili kuthibitisha kauli yake ileeee yupo eneo KOROFI
Kwa upande mmoja; niwapongeze mikia fc kwa kutunyamazisha kwa muda mrefu, maana baadhi yetu tuliona ugumu sana kuingia hapa jukwaani na ku_comment wakati mikia wanatamba huku timu ya wananzengo ikisuasua. Nilikuwa nasoma comments za sembo bila ku_comment maana sikuwa na hoja tena, hali hii ndiyo imempata sembo; kwa kweli, nature is very kind, ni kutesa kwa zamu.

Kwa upande wa pili; niwape pole sana mikia fc kwa kuweka record ya kucheza mechi 13 na kufungwa goli 3 tu na kujikusanyia pointi 35 huku wakipoteza pointi 4 tu lakini hatimaye wakicheza mechi 2 tu za mwisho na kupoteza pointi 6 na kufungwa magoli 3, hii rekodi itachukua muda mrefu sana kuvunjwa si na timu yoyote bali hata mikia fc yenyewe.
 
Wengine tulikuwa tunakomaa nae na kumueleza aweke akiba ya maneno na nadhani ni sahihi timu yako ikiwa haifanyi vizuri sio tiketi ya kukimbia vita unajibu japo kwa uchungu.
 
Wengine tulikuwa tunakomaa nae na kumueleza aweke akiba ya maneno na nadhani ni sahihi timu yako ikiwa haifanyi vizuri sio tiketi ya kukimbia vita unajibu japo kwa uchungu.
Nilikuwa namsoma tu kwenye comments zake nikijua siku moja atakaa kimya tu maana mikia fc haina consistent performance. Hongera Mkuu kwa kukomaa naye siku zote. Tuko pamoja sana.

Sasa ni wakati wake sembo kusoma hizi posts na kuziacha kama zilivyo, matumaini yake yote kayaweka kwa Ruvu Shooting akidhani tutafanya makosa tena jioni hii.
 
Hongera nawe pia ndugu yangu jamaa yako siku hizi anakosa hoja anajibu kwa emoj tumvumilie tu kuhusu kutuombea dua baya wacha aombe huku kakaa nje sisi tunaomba na kucheza pia ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom