[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nifah utaua mtu kwa Pressure by Tamuganyizi hapa..........leo mie Mnusaji nawanusa Simbaaaaa
Hawa Prisons watatukosesha ujio wa watalii baada ya kumaliza Simba mbuganiPrisons tupeni raha tafadhali [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku wamefungwa na yule simba wa kizungu waliandika simba kashikwa sharubu sasa sijui leo wataandika kashikwa mkia au nini?
I miss you too........nisamehe kwa Avatar zangu za ajabu ila niko nashangiliaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani I miss youuuuuu.
Karibu tushangilie bwana,hawa Simba walitunyima usingizi sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Goooooooo!kichuyaaaaa anasawazisha hapa dk ya 125
Kawaida yao. Mara watangulie na bajaji ya udongo.Simba walitangulia na baiskeli ya barafu uku jua linachomoza....Daima mbele nyuma mwiko. Hahaha
Hata uje na microscope huwezi kumuona sembo muda huu mpaka maumivu yapungue labda mapema keshokutwa.
Hata uje na microscope huwezi kumuona sembo muda huu mpaka maumivu yapungue labda mapema keshokutwa.
Sijui tufanye mpango tuonane tuimalizie siku vizuri? [emoji12]Bora siku yangu iishe vizuri maana nimeumia sana leo asubuhi, nlipoona Clinton anaukosa urais
hahahahaha shemeji umeamua kunituliza kijanjaa, ila haya matokeo yanauma sana shemeji.Shemeji punguza munkari, tuliwaambia msitukane mamba, kabla hamjavuka mto. Za miaka kwanza shem, miss you sana. Pole
Watakuwa wamekula maharage ya Kazuramimba!Hawa Azam mwaka huu sijui wamekula maharage ya wapi hawa.
Acha kupika majungu wewe mwanayeboyeboSimba uongozi umeanzisha shida. wachezaji hawajapewa mshahara eti wamefungwa na lyon. waliambiwa leo wakiifunga prison watapewa ndipo baadhi ya wachezaji waligoma. Bahati ligi inasimama la sivyo vipigo vikiendelea. Na raundi ya pili mechi nyingi ugenini. Walianza vizuri ila sasa wasipo kaa sawa itakuwa zahma. Ni hayo tu.
Acha kupika majungu wewe mwanayeboyebo
Tulikuwa tunawaambia ligi bado mbichi hii jamani wanajibu kwa simba hii tupewe Ubingwa wetu tu kwanza tunaanzaje kupoteza mechi mara ooh simba kama real Madrid hatujafungwa basi ilikuwa majigambo juu ya majigambo.Poleni sana watani zangu:
Mbona dakika za nyongeza ni 7??[emoji1] [emoji1]
Unamaanisha Tanzania Prisons wamenunua mechi......?Asiyekubali kushindwa si mshindani......
Wanasimba tumeyapokea matokeo kama yalivyo....,
Tugange yajayo....
Simba mwiko kununua mechi....
Ushindi halali....
Hiyo inaitwa kupatwa mikia[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenichekesha sana.