Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fans wa Yeboyebo mna kiherehere sana🙂Eti nini?
Kwa hakika amefanya yake!Niko hapa nasubiri mnyama afanye yake.. Ndala tulieni
Samahani sana dada yangu na wote niliowakwaza kwa hiliHuu ni udhalilishaji,usinitibulie furaha ya ushindi tafadhali.
Ndio mpira, hakuna cha ajabu ila asanteAlamba alamba tena aaam aam....
Poleni sana Mikia FC...
Nifah utaua mtu kwa Pressure by Tamuganyizi hapa..........leo mie Mnusaji nawanusa SimbaaaaaEti nini?
Kwani nyie ya Yanga hua inawahusu ?Yanga mbona mnashadadia sana game ya Simba wakati haiwahusu
Huwezi kumsifu Mungu bila kumtaja shetani.!Yanga mbona mnashadadia sana game ya Simba wakati haiwahusu