[emoji35] [emoji82] [emoji83] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ushindi mzuri kwelikweli leo swahiba wangu umeoneka humu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Time is running out ππ So please make up your mind asap so that I can introduce you to the best team in Tanzania pale Msimbazi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hebu ita mikia wenzako kwanza ili tuongee vizuri boss,naona unaweweseka humu peke yako.Sawa Mkuu.
Kwema lakini ndugu yangu?Sawa Mkuu.
Au ulikuwa penye kamati? ????????????????[emoji35] [emoji82] [emoji83] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji83]Au ulikuwa penye kamati? ????????????????
Pole mzee baba.. Hizo kauli za kishujaa tu hakuna kitu hapo. We focus kwenye kakombe kaliko baki ucje kushangaa hata hilo ukakosa halafu unaendelea tu kupiga domo.Ukianza kulia lia na kutaka kuhamia Msimbazi nafasi zitakuwa zimeshajaa itabidi tu ubaki na kandambili zako kuishi jangwani huku ukitafunwa na Mbu. πππ
Mimi nilianza 1991,jina langu walinibatiza Keny Mkapa hadi leo.How I miss these days.. I was so young... Ushabiki wangu kwa yanga ulianza mida hii....
1993
Hapo namsoma Keneth Mkapa na Stephen Nemes...
haya muzee........Mimi nilianza 1991,jina langu walinibatiza Keny Mkapa hadi leo.
Namkumbuka sana Tenga sio siri,japo alikuwa na mapungufu yake ila c km ya huyuNdiyo sababu mpira wa bongo kwenye ushindani wa Kimataifa umeshindikana. Kwenye ushindani wa kimataifa hakuna ushindi wa mezani.
Hatimaye...hahaha asante sana mtani.
Uachage uchochezi bhana
Yap niko gud kama YangaUnanijua fika kwamba mie na uchochezi mbali mbali. Mzima weye?
Asante saaana mkuuHongera zako nyingi sana.
Asante BAK kwa mara nyingine tenaKaribu sana Sakayo πππ