HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Karibu mchambawima tule pweza[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshaitaarifu familia yangu ijiandae tukale honeymoon ya ubingwa Zanzibar,ntakua huko kwa wiki nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mchambawima tule pweza[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshaitaarifu familia yangu ijiandae tukale honeymoon ya ubingwa Zanzibar,ntakua huko kwa wiki nzima
Ina maana jina langu hapa umelisahau au kusudi na kutaka kuniudhi ilhali wajua ni siku ya furaha kifupi taarifa hizi najua pa kuzifikishaWapi Dady Balantanda pacha idawa balibabambonahi Bantu lady na Wanayanga woooooote njooni tulisakate rhumba hahaha
Shukran ndio hivyo tena mla mla leo mle jana kala nini?Hongereni sana watani zangu ila next season tutapambana
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Dah tutakutana tu mwakani letu hiliShukran ndio hivyo tena mla mla leo mle jana kala nini?
Umempa ushauri mzuri sana ndugu yangu BAK maana akivuka mipaka yetu huko ughaibuni yupo arsenal ni sawa sawa na kula mishikaki ina pilipili nyingi kwa chai ya rangi ya moto sanaaaKumbe na wewe mshabiki wa simba lol
Hebu wacha kuweka roho juu njoo yanga upate raha huko utapungua kilo buree. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kachekee chooniNaskia rufaa Fifa mnasubiri matokeo ya leo yanga ifungwe ndo muipeleke?[emoji4] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe na wewe mshabiki wa simba lol
Hebu wacha kuweka roho juu njoo yanga upate raha huko utapungua kilo buree. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ubingwa ndio raha yenyewe ikiwa hampati ubingwa ya nini sasa kuishangilia simba.Hakuna raha yoyote kuitwa kandambili na kuishi jangwani huku mkitafunwa na mbu. Karibu Msimbazi nikutambulishe rasmi. 🙂🙂
Na huo ndio ujasiriDah tutakutana tu mwakani letu hili
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Uachage uchochezi bhanaHakuna raha yoyote kuitwa kandambili na kuishi jangwani huku mkitafunwa na mbu. Karibu Msimbazi nikutambulishe rasmi. 🙂🙂
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Ubingwa ndio raha yenyewe ikiwa hampati ubingwa ya nini sasa kuishangilia simba.
Goodnight hb BAKUbingwa wenyewe wa kupewa mezani na kile kitengo chenu maarufu cha Yanga bibgwa daima AKA TFF. Mnyama apokonywe points ili nyie muwe mabingwa hahahahaha lol!