Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Mnyama hawezi kuwa bingwa wakati kitengo cha kuhakikisha ubingwa wa Yanga TFF kiko busy kufanya hivyo.

Ubingwa ndio raha yenyewe ikiwa hampati ubingwa ya nini sasa kuishangilia simba.
 
Ndiyo sababu mpira wa bongo kwenye ushindani wa Kimataifa umeshindikana. Kwenye ushindani wa kimataifa hakuna ushindi wa mezani.

Mnafurahia sabab ya huyo Malinzi wenu ipo cku atatoka watu wenyewe mnatuaibisha mkienda huko mbele n kuishia round ya 1 au ya 2
 
Oyooo,yanga sie ni noma..baad y mbao siku ile kutzngua,tmeamua ktembeza chapo t kw kila team inayokuja mbele ye2.so mbao mmekwishaaa
 
How I miss these days.. I was so young... Ushabiki wangu kwa yanga ulianza mida hii....
1993

Hapo namsoma Keneth Mkapa na Stephen Nemes...
 
Attachments

  • scan0002.jpg
    scan0002.jpg
    99.7 KB · Views: 79
Ubingwa wenyewe wa kupewa mezani na kile kitengo chenu maarufu cha Yanga bibgwa daima AKA TFF. Mnyama apokonywe points ili nyie muwe mabingwa hahahahaha lol!
Kwani zile mlizopokonywa mlishinda ile mechi. [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Swala si kushinda tu, TFF waliona kwamba Kagera walikiuka taratibu na ndiyo sababu wakatoa points, lakini baada ya kukumbushwa kwamba wao ni kitengo cha kuhakikisha ubingwa wa kandambili wakabadili mawazo lol! Naona una machozi mengi sana pole.🙂🙂🙂

Kwani zile mlizopokonywa mlishinda ile mechi. [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Ukianza kulia lia na kutaka kuhamia Msimbazi nafasi zitakuwa zimeshajaa itabidi tu ubaki na kandambili zako kuishi jangwani huku ukitafunwa na Mbu. 😛😛😛

Hata sitaki. Nataka wapi kusononeka kila siku nikose furaha.

Wacha tu nibaki huku huku[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Swala si kushinda tu, TFF waliona kwamba Kagera walikiuka taratibu na ndiyo sababu wakatoa points, lakini baada ya kukumbushwa kwamba wao ni kitengo cha kuhakikisha ubingwa wa kandambili wakabadili mawazo lol! Naona una machozi mengi sana pole.🙂🙂🙂
Haya bana ila siamini kama simba mmefikia huko.
 
Back
Top Bottom