Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubingwa ndio raha yenyewe ikiwa hampati ubingwa ya nini sasa kuishangilia simba.
Mnafurahia sabab ya huyo Malinzi wenu ipo cku atatoka watu wenyewe mnatuaibisha mkienda huko mbele n kuishia round ya 1 au ya 2
Meza ipi rafiki?Hahahahaha lol! Kumbe humu kandambili wengi sana lol! Hongereni kandambili kwa ushindi wenu wa mezani.
Tuko wengi.... Rafiki pale taifa jana kulikuwa na meza?Nawe pia lol! Meza ya TFF rafiki.
Tuko wengi.... Rafiki pale taifa jana kulikuwa na meza?
MmhMnyama hawezi kuwa bingwa wakati kitengo cha kuhakikisha ubingwa wa Yanga TFF kiko busy kufanya hivyo.
Kwani zile mlizopokonywa mlishinda ile mechi. [emoji24] [emoji24] [emoji24]Ubingwa wenyewe wa kupewa mezani na kile kitengo chenu maarufu cha Yanga bibgwa daima AKA TFF. Mnyama apokonywe points ili nyie muwe mabingwa hahahahaha lol!
Kwani zile mlizopokonywa mlishinda ile mechi. [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hata sitaki. Nataka wapi kusononeka kila siku nikose furaha.Karibu sana Msimbazi when you ready to jump ship.
Hata sitaki. Nataka wapi kusononeka kila siku nikose furaha.
Wacha tu nibaki huku huku[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haya bana ila siamini kama simba mmefikia huko.Swala si kushinda tu, TFF waliona kwamba Kagera walikiuka taratibu na ndiyo sababu wakatoa points, lakini baada ya kukumbushwa kwamba wao ni kitengo cha kuhakikisha ubingwa wa kandambili wakabadili mawazo lol! Naona una machozi mengi sana pole.🙂🙂🙂
Haya bana ila siamini kama simba mmefikia huko.
Ushindi mzuri kwelikweli leo swahiba wangu umeonekana humu![emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Najua ulipoupatia uzoefu wa kupenda vitu kama hiviTime is running out 🙂🙂 So please make up your mind asap so that I can introduce you to the best team in Tanzania pale Msimbazi.