Goalllllllllllllllllll Amisi Tambwe anaipatia Yanga goli hapa.
Yanga 1-0.
Ubingwa uleeeeeee
1-0Update plzzz
Haki nakupendaga bure kabisa [emoji119]Toto letu liachwe ligi kuu liendelee kumshughulikia Simba aliyepakatwa.
Karibu mkuu,ni zaidi ya raha.Uko vizuri mama ahsante,
Umekuwa Jongo! Hivi unamkumbuka huyo mtangazaji?Namna gani pale Yanga wanakosa goli la wazi kabisa?