Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Hebu tuwekeeni clips za hao wanadada wa Yanga wanaokata mauno pamoja na Juma Pondamali naona mtangazaji wa mpira wa TBC kila wakati anagumia yalaaah! Yalaaah!
 
Full Tiiiiiiiiiiiiiiiimeeeeeeeee
Yanga wanaondoka na ushindi wa goli 1-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Toto Africa.
Shukraan za dhati kwake mfungaji wa goli pekee lililotupa jeuri ya kutangaza ubingwa Amis Tambwe.
Hapa tunatangaza ubingwa kabisa,hatuna mashaka tena.

Poleni Toto,mnatia huruma sana ila hakuna namna....UBINGWA KWANZA.
Hongereni Wanayanga wote
Cheeeeeeeerrrrssss [emoji485]

Ahsante mumy. Tuko pamoja

Siku zote Daima mbele nyuma mwiko.
 
Jirani yupo busy na kuchangisha pesa ya kumlipa MO, so hakutakuwa na maneno mengi safari hii.
 
Baada ya hangaika kumsaidia Toto hiki ndio kilichomkuta
ed9ea29e53eae60bac8c7c794fac568a.jpg
 
kuna kila dalili kuwa hii kauli nadhan inatumika visivyo "daima mbele nyuma mwiko" yanga wanasema kuwa wanataka kula sahani moja na bayern hadi wawe level kwenye kubeba ubingwa mfululizo.
 
Back
Top Bottom