Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameeeeen [emoji120]Stay blessed...
Whatever.... Ubingwa muhim... Mbao zingetuzuia ...Maskini sembo sasa kwa jeuri tunauthibitisha ubingwa wetu pale kirumba 20/05/017 kwa ushindi mwingine
Full Tiiiiiiiiiiiiiiiimeeeeeeeee
Yanga wanaondoka na ushindi wa goli 1-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Toto Africa.
Shukraan za dhati kwake mfungaji wa goli pekee lililotupa jeuri ya kutangaza ubingwa Amis Tambwe.
Hapa tunatangaza ubingwa kabisa,hatuna mashaka tena.
Poleni Toto,mnatia huruma sana ila hakuna namna....UBINGWA KWANZA.
Hongereni Wanayanga wote
Cheeeeeeeerrrrssss [emoji485]
Mimi wine mkuu,bia situmii [emoji39]Nifah,njoo huku tule bia,Tambwee kamaliza kazi.Ngoma alikuwepo,Hans alikuwepo.
Karibu emmyta,tuserebuke sie [emoji8]Ahsante mumy. Tuko pamoja
Siku zote Daima mbele nyuma mwiko.
Hahahaaaaa hivi mnapataga wapi hizi picha jamani?Baada ya hangaika kumsaidia Toto hiki ndio kilichomkuta![]()
Kwa jinsi nilivyowaona ukitafakari nakubali kabisaIla hawa Toto Africans sijui wamepata wapi nguvu hii,maana baada ya mpira wanaonekana wana uchungu mno.Lazima kuna mtu alikuwa nyuma yao aisee