Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Hebu tuwekeeni clips za hao wanadada wa Yanga wanaokata mauno pamoja na Juma Pondamali naona mtangazaji wa mpira wa TBC kila wakati anagumia yalaaah! Yalaaah!
 
Maskini sembo sasa kwa jeuri tunauthibitisha ubingwa wetu pale kirumba 20/05/017 kwa ushindi mwingine
Whatever.... Ubingwa muhim... Mbao zingetuzuia ...
 

Ahsante mumy. Tuko pamoja

Siku zote Daima mbele nyuma mwiko.
 
Jirani yupo busy na kuchangisha pesa ya kumlipa MO, so hakutakuwa na maneno mengi safari hii.
 
kuna kila dalili kuwa hii kauli nadhan inatumika visivyo "daima mbele nyuma mwiko" yanga wanasema kuwa wanataka kula sahani moja na bayern hadi wawe level kwenye kubeba ubingwa mfululizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…