Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Ushindi utanoga zaidi pale Cardiff hiyo june 3
[emoji471] [emoji471] [emoji471]
YANGA BINGWA 2017/18
 
Kumbe na wewe mshabiki wa simba lol

Hebu wacha kuweka roho juu njoo yanga upate raha huko utapungua kilo buree. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umempa ushauri mzuri sana ndugu yangu BAK maana akivuka mipaka yetu huko ughaibuni yupo arsenal ni sawa sawa na kula mishikaki ina pilipili nyingi kwa chai ya rangi ya moto sanaaa
 
Hakuna raha yoyote kuitwa kandambili na kuishi jangwani huku mkitafunwa na mbu. Karibu Msimbazi nikutambulishe rasmi. 🙂🙂

Kumbe na wewe mshabiki wa simba lol

Hebu wacha kuweka roho juu njoo yanga upate raha huko utapungua kilo buree. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ubingwa wenyewe wa kupewa mezani na kile kitengo chenu maarufu cha Yanga bibgwa daima AKA TFF. Mnyama apokonywe points ili nyie muwe mabingwa hahahahaha lol!

Ubingwa ndio raha yenyewe ikiwa hampati ubingwa ya nini sasa kuishangilia simba.
 
Mnafurahia sabab ya huyo Malinzi wenu ipo cku atatoka watu wenyewe mnatuaibisha mkienda huko mbele n kuishia round ya 1 au ya 2
 
Reactions: BAK
Hata tuishie round one kimataifa...IPO siku tutatusua...sasa tuache kushinda VPL kisa huwa tunatolewa hiyo dhana haiingii akilini...timu huthaminika kwa makombe ya ndani kwanza ndio ikomae nje..Simba wanatamani kweli kubeba kombe la Vpl!! Dah mmekosa mwaka huu iliokuwa mgumu kwetu...mwakani msahau....labda confederation ya Azam...chukueni...mkawakilishe na wenzenu kama nyie kimataifa..
 
Eti simba wanalalamika Tff imeipokonya simba point 3! Ilipata mezani zikapotea mezani..uwanjani walishinda kagera...tena bao 2...wala Fakhi hakufunga goal!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…