Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitano tena 😂😂😂
(Natumia Freebasics hvy cjaona video)
Kwa kweli Shigela hakuwa na sababu ya kusema neno "ambao siyo majirani wazuri sana" hii inasababisha uhusiano wetu na wao unakuwa mbaya bila sababu.
Wagalatia tumekishwa. Pona yetu ni yeye kuzinduka tuu. Rais atatokea upande wa pili asipozinduka. Makamu upande wao bashir, pm ni wao, Tiss ni wao. Riz1 atakuwa mambo ya ndani, makambajr foreign, fedha atakuwa mtu wao. Sisi tutabakia tu na kina mabeyo, Sirro na mambosasa ambao watakaa miez michache kuzuga hawana impact yeyote.
JESUS please help us!
Kwa kweli Shigela hakuwa na sababu ya kusema neno "ambao siyo majirani wazuri sana" hii inasababisha uhusiano wetu na wao unakuwa mbaya bila sababu.