Mchakato uchaguzi wa kidemokrasia huishia na makabidhiano ya mamlaka, madaraka na ofisi. Leo Lissu kaingia ofisini na mtangulizi wake Mbowe hakuwepo kumkabidhi mamlaka, madaraka na ofisi. Hii inafanya uchaguzi wao kuwa mapinduzi View: https://www.youtube.com/watch?v=sg4irUqemHs