Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Hoja yake ya nyumba za kupanga iliishia wapi? Alifanya utekelezaji gani kuisimamia mbona hatuioni?
 
Hiyo ni mikakati katika kuijenga TANZANIA mmpya ,muachane na kupenda njia za shortcut huyu ndiiye atakayetuvusha ....
Anayoyasema yeye ndo short cut,ukizingatia jinsi umaskini uliyoilemea Tanzania,kwa miaka mitano kufanya yote hayo ni uongo tena uongo mkubwa sana
 
Na wewe unaamini mwaka 2010 Dr.Slaa alishinda urais Usalama wa Taifa wakaiba kura zake?

Mbona haieleweki kwa hiyo upo tayari kuachana na Dr.Slaa na kujiunga na Mako Nyerere safi sana.
 
Ukweli tunahitaji upinzani lakini kwenye upinzani kwenyewe Kila MTU anataka kwenda ikilu eti mwamuweka babu her. Babu naye kakaba kweli mpaka tunashidwaa had I sasa hakuna MTU siasa ndio imetawala
 
Chadema mtangaza nia atakuwa babu slaa peke yake atakayejitokeza mwingine atakuwa msaliti
 
Tecnolojia zaidi urongo mtupu eti anatutolea mfano Tanga leo wanavyomuangali,hao si ni wale wa mjini tu,wa vijijijini huko bumbuli hamna kitu
 
hawa mawaziri mi hapa ndiyo wanaponishangaza kwa nn wasinge yafanya wakiwa ndani ya uongozi kwa kumshauri Jk hizi ahadi hata Jk aliahidi hakuna hata moja lililotekelezwa! heli El kuna mengi tuliyaona.
 
Anayoyasema yeye ndo short cut,ukizingatia jinsi umaskini uliyoilemea Tanzania,kwa miaka mitano kufanya yote hayo ni uongo tena uongo mkubwa sana

Katika aliyosema hakuna ata mmoja analoweza kutekeleza kama kuna anayebisha aniambie ata kimojawapo nimwambie jinsi alivyodanganywa.
 
Kujenga vituo vikubwa vya mchezo vya kiolimpic,jamani jamani tunadanganywa sana hapa,shule zenyewe hazina maabara
 
Mwambie pro-Chadema yeyote ajitokeze kutia nia kama ajafukuzwa kama panya ni marufuku kumpingana na fikra za Dr.Slaa na Mbowe.

Teh Teh pro-chadema wana muogopa sana Slaa ni kama Mungu wao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…